Cheapest way to Hama from nai to eldy?

Niaje watu nguyaz, how much does it cost to hire a pick up or canter to transport my stuff from nai to home of champions? Maisha nai imeshinda Mimi halafu transfer ya muhindi. Ama other cheaper alternatives! Saidia tafasali cc @Meria Mata @Budspencer @Tarantinoh

unataka canter ama pickup?

Muhindi ana finance io cost ya kuhama?

Stuff si mob hata pick up inaweza cost ni roughly ngapi

@Meria patia jamaa lift

Wapi hio ni out of my pocket

@MM beba hii mtu

Chukua mkokoteni hadi countrybus station. Lipa eldoret express they will tie all your stuff on the roof of the bus.
Wajaka hufanya hivyo every festive season.

Anaweza saidia sana

:smiley:

Yeah, it’s cheaper too. Lakini aende wakati watu si wengi.

Sell the stuff! You will incur looses but this gives you a chance to declutter and start a fresh with new things

vile @Bangaiza Salinga amesema hapo juu

Uza vitu uende eldy umesimama kama ítimù a.k.a kama spear…thank me later

Lorry minimum 20k

Ngojea machinku wamalize SGR ya useless jubilee …uhame ! …no need to thank me …

Take your stuff to the post office for Posta courier and pick them up at the nearest post office at eld. Cheap.

SGR inashuka Narok… haiendi NaxVegas → Eldorado

Vile umeambiwa na @Koolibah

Sell everything…or leave the unsellable ones…just make sure umekalia deposit ndio mwenye nyumba ajilipe nazo. Fanya hesabu between the value of those items and the costs u will incur transporting them. If the value of the items is greater, make a decision on whether to sell or transport.