Wadau na wakumbwa, wazito na wanyonge nawawekea hapa mbicha za Tatu City Road Race that was held a few weeks ago. Can you spot mzito @Gio? @Purple @Miss Finest Wine baby girl @Nefertities Jana nilikuwa pare Eldama Ravine kurace pia, mbicha zikitokea ntaweka, hio race ilikuwa ngumu bana. We also celebrate Peter Sagan winning his 3rd World Championship jana.












