checki maneno

Status
Not open for further replies.
#1
So leo nilidecide niende nitafute hii kiambu racing circuit nikarace bike yangu huko, lakini milima ya kiambu wasee si mchezo. Nilikuwa nahema kama sijawai ride tena hadi nikawachana na huo mpango nikarudi.

Nikaamua niingie hii baze hapa.... 20150403_142435.jpg
 
Status
Not open for further replies.

Top