cheki maneno ngong hills

chriskiil

Village Elder
#1
leo nmehamua kunyoosha misuli mpaka huku juu kabisa,the scenery on the southern side is soo good,niko na twigs kadhaa kufanya safari ikuwe swafi,bisha haziwezi ingia inakaa huku net ni 2G,so slow
 

Top