Cheki place nilikuwa leo: what do you do for a living talkers?

Status
Not open for further replies.

Ka-Buda

Village Elder
#1
If you have seen a JCB truck today,this is where it most probably was made.
Mimi ni dere and leo i had to deliver something here. The factory is massive yaani you drive along a motorway and this building doesn`t seem to end. There is a whole town that is a direct result of this company and almost everyone there works for JCB.
Anyway,what do you do for a living talkers? and please tell us something interesting about your job......or your day to day work.
WP_20150122_008.jpg WP_20150122_004.jpg
 

Ka-Buda

Village Elder
#7
Hiyo campuni ni ya mtu mmoja?
Ehe! The guy is a simple man alianzisha the company in his own compound unaweza ata google jina yake.Bado ako in charge lakini kampu imekuwa kubwa kumshinda na anaishigi maisha ya simple man although nilicheki ako na heli pad na kwa parking hapo reception ako na Austin Martin mbichi and guess what the number plate is?
Its amazing ile maisha hawa walami masonko huishi,you can work side by side na mwenye kampu na hautawai jua vile wako simple.
 

aviator

Village Elder
#9
I cut electricity at Kenya power. On a good day, naeza pata watu kumi wanihonge na 100 nisiwakatie. Ukiongezea kamshahara naweza enda home na 25k on a good month.

Na hata mimi mtu hawes sema ni sonko. Kwanza vile naishi maisha simple huko kariobangi! Kanyumba ni single ka 2500, mama anafanya salon na hupata kitu 200 kwa wiki, stima nalipaga half price, fombe hukunywa macups, so I manage to save 2800 kwa mwezi. Na just like my fellow sonko JCB, I live a simple life.

:D :D :D :D
 

BigMark

Village Elder
#11
i guess am one lucky guy, i do not work, yani am not working class, i have enough cash to last me and 100 more people two life times,
Kazi yangu ni kuamku asubuhi saa mbili kenda gym mpaka saa nane halafu kufukuzana na waschana the rest of the day
 
Status
Not open for further replies.

Top