Dismiss Notice
You cannot view some content because you are browsing this site as a Guest. CREATE AN ACCOUNT to enjoy access to all content.
 1. mukuna

  mukuna Village Elder

  Tumeleta Bakayoko
  DEyW5rbXoAAePTU.jpgsmall.jpg
  Na tumenyorosha Fulham 8-2 Batshuayi ameweka mbili
   
  fisi fc, Jazzman, wildfrank and 4 others like this.
 2. Destro

  Destro Village Elder

  Sandro +Aubamayeng or Higuan and we are ready for next season
   
  inzhener otmetka likes this.
 3. mukuna

  mukuna Village Elder

  Higuain nikama ame juve inakataa kutuuzi
   
 4. Destro

  Destro Village Elder

  inakataa but tukiongeza Pesa na yy aforce move inawezekana but Aubamayeng is a good option ni sharp
   
 5. mukuna

  mukuna Village Elder

  Sandro ameongezewa 50% pay raise
   
 6. Destro

  Destro Village Elder

  Na juve??But left back yetu si mbaya sana.We just need a striker urgently
   
  fisi fc, gashwin and mukuna like this.
 7. Mr Black

  Mr Black Village Elder

  Higuain achaneni na yeye hio Ni kutupa pesa coz he won't last 3 seasons in a league that is as frantic as otc, Auba ako Sawa ama Morata or Belotti.
   
  fisi fc and mukuna like this.
 8. inzhener otmetka

  inzhener otmetka Village Elder

  Manure and Arsnol wasidhani hizi ni fake news!
  Moja (Season) tena kwao!
   
  gashwin likes this.
 9. Destro

  Destro Village Elder

  Morata siwezi taka akuje chelsea.Heri beloti
   
 10. wildfrank

  wildfrank Village Elder

  New season mnalilia kwa choo...
   
 11. Mzee mzima

  Mzee mzima Village Elder

  Huyu kijana nimemuona sana Monaco, hapa hakuna kitu heri Pogba mara mia and that's saying something
   
 12. Raheem8

  Raheem8 Village Elder

  Auba is heading to Liverpool, u can place ur ads on the line
   
 13. Jazzman

  Jazzman Village Elder

  Kwa hivyo hapa pairing ya engine room itakuwa Fab/Kante na Matic/Bakayoko.
   
 14. Destro

  Destro Village Elder

  Hehe Hasidi hana sababu tungoje season ianze
   
 15. Destro

  Destro Village Elder

  Mbona??Squad tumerenovate tutakuwa form saidi
   
 16. Destro

  Destro Village Elder

  Boss ata Chelsea wako na chance ya kumsign.Wish tumpate we will still be a force to reckon next season
   
 17. Destro

  Destro Village Elder

  Toa matic kwa mpango.Walishaambiwa wajipange wakiwa na Costa.Matic might be heading to Juve
   
 18. mukuna

  mukuna Village Elder

  Hatuwes bana hatuja overspend,squad iko tu
   
 19. Mzee mzima

  Mzee mzima Village Elder

  Mnauza mzito Matic mlete Bakayoko? Lakini siwez walauma, its the same team waliuza De Bruyne na Salah
   
 20. Destro

  Destro Village Elder

  Matic game za mwisho alitucost sana.Kwanza final ya FA wakiwa na Moses walikuwa down sana.Bt kila Coach huwa na wachezaji type yake