Kuna hawa watu mi hucheza nao chess online. Dem mmoja alinisafisha nikaitisha rematch. Mimi huyo nikafungua computer nikaweka master. Akicheza nafeed moves zake kwa computer kisha computer ikimove naiba move. Sasa ameniitia vitu.
Effidence please otherwise hii ni fiction.
Tracy…If tomorrow comes.
Unachezanga wapi tucheze? No cheating inakaa hiyo ni style yako. Iwe rapid games kusoma mwakenya itake time
Just install Real chess.
Real chess.
Kama mko nai tukutane Motorsports pale south C on friday tuguze game ya stakes hadi late night
Nitakutafuta kwenye mtandao tuchuane. NB: sijakosea kwa kumaanisha ‘tujuane’.
Download the chess.com app. Play on mobile. Nikilewa kwa bar ndio mimi huyo nataka kunyorosha watu online. Plus you can review your games and replay them. Or analysis. See things you missed
hehehe hii naweza kuwa interested, niwanyoroshe proper
Grandmaster.exe
Hio ni ya ma chess juniors…
I’m the exe :D:D
Hehe… Nitadownload hiyo exe nione kama utanitoa.
That’s what I use. I’ve played people with the Kenyan flag before
Username dntweepchildgodshere for anyone who wants it
That’s what I said though
Right
mi natambua draughts pekee. ma kabuti kwa wingi