sludgist tafadhali kuwa sirias saa zingine, hii iPad nilinunua 300,000 kshs inaweza kulisha miaka nane hapo Kilifi ununue manyani ukuwe unakula moja daily
si useme tu ulikuwa unataka tujue umenunua ipad pro ya supposedly 300,000. hii mambo ya download chieth if u are a true apple fan hauwezi uliza maswali kaa hiyo ju you would know in apple ecosystem torrenting without jailbreaking is imbossibo.streaming ndio bosibo…… usitucheze ufala