[MEDIA=twitter]900123800595042304[/MEDIA]
Huyu aliambiwa ako na title deed ya nyamira yote?
Hatutaki upusss…
Smh
Hehe, kina Beatrice Akinyi ndio hupea wakisii na wakuria permit ya kuishi Nyamira??? Na kweli tutajionea mambo. I hope whoever’s behind that handle is just trolling.
2 Likes
sasa ukisema hutaki wakisii in Nyamira na huko ndio kwao ni sawa na kusema Wakamba watoke Kitui.