Chokoraa na Kinyesi.

Some street boy approaches me near BS demanding some cash saying (Mimi si mbaya mavi ndio mbaya) he says, with his right hand carrying a black paperbag with something i assume to be shit inside(Niliiangalia but sikuona vizuri)
Nilimshow ajaribu aone nikiwa nimeharibu uso mbaya and to my suprise he just walked away

Hawa machokoraa wamenizoea si Meffi,Si syringe iko na damu ya ukimwi hapa hapa BS tu.
Timecheck:6:20pm.

damu ikipoa haiwezi kuambukiza ukimwi…ndo maana anko hulewesha mzoga kwanza inachew black out

16 Likes

Mimi huwa wamenihishimu sana. Kuna kamoja kulinisumbua vile wao husumbua customers wakitoka tuskys wakiwaomba change. Nilikatoa mbio sana with a lot of rage as his friends cheered for him to get away. I never caught the lil meffi but tangu hio siku wao huniogopa

2 Likes

hizo chokoraa ni vifaranga vya Kidero. kuna time walisombwa wote sijui walipelekwa wapi. After 2 weeks they were back in every corner of the CBD Kuna wengine hupiga kambi hapo Nakumatt City Hole.

2 Likes

Niliona nikikaonyesha woga katanizoea. Mimi nani i hardened long time ago…

Hapa BS ndio wamenizoea kwanza masaa tatu nikifoot.

if you think you are anti-meffi enaf…pitia io chuom ya behind taveta road Sunday around noon btn taveta road n tommboya… hapo ndio utajua hujui

2 Likes

Hio chuom ya taveta hata evening mi hupita na sijawai ona kisa cha msee kushikiwa kinyes…

2 Likes

Unge mwambia juala ni illegal akishikwa fine sio mechzo next time abebe kinyeshi na manila !

1 Like

kuja D kwa dumpsite utishiwe na chokosh ati atakuingizia carrot kwa haga na avuje ikiwa ndani apo ndio utajua hujui…unapeananga kila kitu

1 Like

Villagers si mmepitia…haha…balaa…nimepitia pia lkn si kama wengine wenu

The lane is full of addicts.

2 Likes

Rao said ‘mizoga’ at Moi girls while addressing the press.

It just felt strange

2 Likes

Pengine unakaa chokora,hawawezi kubother. Wanaona mtu wao… Some of us ata Tom mboya yenyewe wacha chuom ni ngori…

Wewe unaongea chenye hujui…but ukicorrectiwa unakimbilia matusi…mbweha wewe… Hio route naipitanga kila wakati. Its their lair but that doesn’t mean they are all terrible boys… Tibiwa ugonjwa wa @PepoPunda

1 Like

Tutasema mara ngapi hapa kutembea town ni lazima uactivate the following modes: 1. NO EYE CONTACT (unless ni yerro yerro), 2. SURA LAZIMA IKUE YA MKULA NDIMU.
No one will bother u ata kama ni karao if the above 2 modes are activated simultaneously.

2 Likes

siku yako haijafika…bado iko planning stage. hapo kila mtu hukua na syringe na madawa na mavi standby. I see them from above wen I visit intermark house

Brazza, nikitoka waks me hushukia Khoja au Odeon, na masaa ya mwananchi huwa navukia hio chuom, au kama ni past 7 navukia Tsavo; for the past 11 years. Kwani walikutishia when, na saa ngapi, wacha tuanzie hapo.

Sunday kitu 12-2pm mchana ndio wanakuwanga hapo wakitoa lock.walitishia beshte yangu mbaya sana

They normally do that shit to ladies.