CHOM

nikiwanga form four leaver niliishianga kustay Nakuru kwa cuzo yangu. alikuwa anaishia Rwanda kuattend workshop ya campuni alikuanga akiifanyianga job so ikabidi ameniita nikam kustay huko ndo keja isiwe empty na asisanywe. alinishow hakuna venye angeacha dame amuangalilie keja ndo wanaume wengine wakuwe wakiletwa huko. alichapia dame yake bro yake ndo amekam kustay huko so ataenda kumvisit akirudi kutoka workshop. cuzo yangu anaitwanga Douglas aka Dougie. Dougie alikuanga na ki Noah manze aliomoka kitambo huyo. na venye mi nilianza kufunzwa ndae na mzae nikiwa form 1 ilibaki nishajua nikiwa form. akaniachia key za hio Noah nikajua baas form iko shwary. kunguru wa huko naks ile mbio nilikuwa nawaleta acha tu. unaenda uko 64 na Noah unaitisha mzinga ya McDowells hapo meza yako ilikuwa inajaa within minutes kila dame anadai form yako. kwanza wakicheki uko na ndae na vile iyo Noah ilikuanga comfy wee ilikuwa inadai. wengi wa wale madame nilikuwa nachipo kwa clabu nilikuwanga nawakamulia ndani ya iyo Noah kwa back seat yenye iko before boot. kuna day nishaikamua kunguru wawili kwa hiyo Noah. nilichuna wa kwanza nikampeleka nikamkamua kitu dakika 20 ivi nikamtoa. nikaleta mwingine after 1 hour nikamkamulia huko nikajitoa juu watiaji walikuwa wameanza kuongea mob ati “inakuaje huyu kijana mrefu anaingiza wasichana huko kwa gari iyo gari inaanza kuwa na movements ziko fishy. alafu after some minutes wanatoka wakiwa wanakaa kuchoka. huyo msee anawafuck huko”.

sasa nikiwa huko nikajuana na wasee within 4 days nishajuana na raia kadhaa. sasa kuna hii raia ya boyz flani alikuwa akiitwa kopulo. hii raia ilikuanga ya wasee wa ghetto. form zao zilikuwanga zile za jaba jioni alafu baadae ni makali iyo enzi makali zile cheap zilikuanga ni akina Meakins, KC na KK legend haikuanga imeshika kama siku hizi. bash za raia ya kopulo ni zile zilikuanga zimejaa vurugu mbaya. mara msee ametokana dame videvu zinashuka mara hiyo. mara sijui msee ametusiana videvu zinashuka ile mbaya. yaani form zao zlikuanga zinaisha na vita. kuna day hadi kidogo kopulo apigwe mpini (dagger) wee acha tu. walikuanga raia ya mtu ka kinde ivi na ndume zilikuanga 7 na pink handles walikiwa watatu pekee. hiyo hesabu ilikuanga inakulanga mish vibaya sana. kuna raia ingine pia nilijuana nayo. raia ya boyz flani alikuwa akiitwa Nico. hii raia ya akina Nico ilikuwa na ma cool kidz manze. hawakuwa na dooh vile but ni wasee walikuwa na kaswag. form zao ni either uwapate wamechill wakiskiz hip hop ama wanacheza ps4 kejani tu. wakiendanga mabash ilikuwa imebaki umetoka na dame hata kama hukuwa unadai mmoja. unaenda form dame anakununulia pombe manze. unacheki bei ya pombe unasema ungepewa iyo doo. unaenda event dame anakucheki uko solo anakam anaanza convo kidogo kidogo mate inaanza kutembea alafu mwishowe threshold inafikishwa. alafu ukiamka dame anakushow “hey when can we do this again?” yaani dame anakushow ako in it for fun inabaki wewe ndo uko attached kwake si yeye. kizungu nayo manze ilikuanga ikinipiganga chenga kiasi. hawa wasee walikuwa wakichezeanga ligi ya Jameson, Ciroc, Famous Grouse hizo enzi hizi ndo tei kali zilikuanga.

kulikanga na day flani boyz anaitwa Devi wakiwa baze alianz kuni bad mouth. boyz anajiita Gitch alirecord akanitumia hiyo recording kwa WhatsaApp. niliiskia nikasema haina noma ni sawa tu. kuna day kulikuanga na event flani kuenda na huko ilikuwa karibu na Naivasha na raia ya kopulo ikanishow kama ningewapeleka nikawashow watoe doo ya ngata. hizi ninja zilidai kutoa 100 pekee nikwashow haiwezi jooh.na vile Noah hukunywa ngata vinoma. nikwashow watoe 300 juu ni mtu kumi ikuwe 3k nieke ngata nugu zikadinda zikasema zitanipea rwabe kila mtu ikuwe 2k nikasema ni sawa. so iyo day jioni tukaishia street flani huitwa Kanu street equivalent ya Nairobi’s k street kopulo wakabuy matei alafu wakaingia kwa ndae. nikashow Devi niaje shuka ndae hakuna mahali naenda na wewe. wasee wakadai iyo story iishe niwapeleke hiyo place ya event ilikuwa almost an hour’s drive. nikawashow hakuna mahali naenda na Devi. nikamshow ashuke. akashuka alafu raia ingine pia ikashuka ikadai hakuna mahali inaenda bila Devi.,

[ATTACH=full]179273[/ATTACH]

kidogo kidogo wakshuka wote na matei zao wakidai kama Devi haendi pia wao hawaendi nikasema ni sawa. after nimestart gari nikavutiwa na Nico akanishow kuna vile ndae ya kwake imepata ngori kiasi akanishow kama naeza enda huko niwapeleka place flani. nikasena ni sawa nikaishia. hata ni bahati kopulo and co hawakufanyia iyo ndae any juu otherwise hawa walikuwa mafala. kujitoa tu ivi kopulo na raia wakadandiwa na mambang’a. hata sikujua hiyo story nilikam kuvutiwa na kopulo wakiwa kwa cell ati niliwaitia makarau. kufika place Nico wako nikapata pia wao walikuwa wanaishia hiyo event but walikuwa waingie section ya VIP regular ni mahustler ndo waibiane wao wenyewe. sikuwa nimewashow story ya dooh wakadai watatoa 400 kila mtu ya ngata. iyo yote ilikuwa inakam 4800 juu walikuwa mtu 12 kila boy na dame wako hakuna kupigana compe. siku ikaisha tu vizuri. kesho yake ndo nilicome kuchapiwa story vile kulienda. after walishuka kopulo na raia yake wakadandiwa na makarau wakapelekwa cell kila mtu akapigia paro yako juu walichapiwa kutoka huko ndani ni 3k kila mtu. sasa kuna boy anaitwa chomeza tulikuwa tunamuita chom budake ni ule mambo mbaya. alikam akalipa 3k akauliza makarau alishikwa akifanya nini makarau wakamshow walimshika saa tano ya usiku kanu street nakwambia chom alipigwa bare moja nzito na budako akalose balance akadunda chini. “wewe si ulisema jana unaenda overnight seminar ya mayouth ulikuwa unafanya nini kanu street saa tano ya usiku?” kuharibia maneno budake akacheki madame pia karau akamshow aliwashika pamoja. “wewe unanidanganya na kazi yako ni kutomba hawa malaya kanu street”. msee alichochana ati alienda seminar kumbe alikuwa anaenda form na vile kilikuanga kinaongea mob ati kama Devi haendi pia mimi siendi alijua huyo Devi hangemsaidia akipigwa mabare na budake. ilibidi makarau wamewachuja kutoka stenje chom na budake wakaambiwa waende wamalizane huko nje.

NGORI!!

:D:D:D Chomeza si aliona siku mrefu

Wtf did I just read… Hau ni gutee… Ni urimu

Kanu street…

Leta summary jamaa wa laptop bila os.

uko jaba msee,hii story yako…ama wacha tu

Aliemaliza kusoma naomba sammary

it a story about a guy called chom,if you want the whole story read the last paragraph(oh no! there are no paragraphs) read the last sentense.wacha nishambikie senegal kwanza.

Let bygones be bygones

Hekaya
CHOM
Thread startertall animal everywhere Start dateToday at 3:51 PM

Jump to new Watch

tall animal everywhere
Elder Village
Today at 3:51 AMNew # 1
I have been forming four leavers I had tied to Nakuru Nakuru for my story. he was staying in Rwanda to attend a workshop of a company he was performing a job so he had to call me nikam kustay there he was not to be empty and not to be taken. he said no one would let the lady look at the dog and some of her men were brought there. he paid his dame to his darling so that he would go to me to see him come back from the workshop. My story is called Douglas aka Dougie. Dougie started with Noah manze after that time. and about one mi I started training with me and my grandfather in form 1 remained I knew I was formally. He left me the key to Noah when I knew the baas form was shwary. The guy’s there and the runs I had just brought the van. you’re going to 64 and Noah’s throwing the McDowells hive where your table was packed within minutes every dame claimed …

Hahahahahah
Wacha tushambikie wote then tukuje kusoma mbaandae

Hii ni hangover ama ni nini??

Kuna mtu alisema hatufai kukashifu hekaya so I’ll try as much to extract the positives in this one:D
For your time, typing ain’t easy and is time consuming:D
For the sheng’ vocabularies, you really did your research:D
For the time you didn’t go through the hekaya before posting:D
For making it unbelievably unbelievable:D:D

Huyo anataka tufanye nini,kama hatuwezi andika hekaya pia tuwe hatuwezi leta 'constructive criticism '?