church sadaka: The disapointment.

Kama Villager ambaye sio fanatic wa injili naendaga church only when the Almighty does sth awsome to my life. Kawaida naendaga pia end month na an elephant: aka Thao kwa sababu hio kitu inaitwa endmonth salary ni kitu poa amenifanyia (Most people are Jobless so to thank God for mine),… unless kuna kitu ingine kati kati ya mwezi, mimi huwa hadi next end moth ndio kuonana na sir God. So this week sth happened so leo nimeenda church kama Mcatholic sermon huwa fupi na 40 mins in na tyme ya sadaka ilipofika naenda pale mbele kutoa sadaka na kupigwa na butwaaa.

First of all I heared catekist (Mwalimu wa dini/chairman) amesema, watoto watoe sadaka kwanza, and I heared coins zikiingia kwa kikapu, nikajua pia mbao yangu itapata place (Midmonth no bringing elephants to church juu hakuna zimebaki honestly):D:D:D:D… nikapanga laini huku nikielekea kwa kikapu, I could not hear coin sounds but nikajikaza tu. Nilipofika nikapata hio kikapu ni box na iko na shimo mbili ndogo kama za pinhole camera, these two holes can only fit a note rolled into a weed-roll shape:D:D:D:D (For luck of better words). Mimi kutafuta place ya kueka coins sikupata, Fuck hakukuwa na any place(I said Fuck and thought this is savage level 99:D) nlizubaa zubaa nkaona huyo mathee wa kikapu(Sijui ama ni mimi tu but Wamathee wote wanabebaga hio kikapu ya pesa huwa wakubwa sana:p:D:D:D) ananiangalia kama maembe mzee nkajua hapa ni kaguu niponye, nigga is not needed, nilenda nikama naketi nakatoka nikiendaga hadi nje ya gate with kukasirika kwingi and my mbao in hand. How dare they do that, nani aliwaambia adults hawasotoagi pia, Adults coins matter.

Just as I was out the gate, a bright idea struck, since wamelaunch savage level mpya pia mimi savage level napandisha to 1000:cool::cool:, nikarudi na kupanga laini ya kutoa sadaka, Ule mathee wa sadaka ananirushia tumacho kwa umbali na mimi niko whatsaap woman, na nilipofika kwa kikapu nikaekelea mbao yangu juu ya box na pissed out hadi kwa kiti yangu. Sijui nini walifanyia hio mbao, lakini what really disapointed me is I go to catholic partly juu hakuna ile biz ya kupanda mbegu and injili ya success, the dril ni first reading na secondreading na kusonga mbele, but at this rate the only financialy sane church I know will soon grow into a market place for “MBEGU:D:D:D”

i stopped reading at * Catholic *
Ask me why

[ATTACH=full]176927[/ATTACH]

[ATTACH=full]176927[/ATTACH]

Kuna kanisa la Pentecost nilienda, pastor anasema wale walioleta 10% waje hapa mbele kupata baraka.

That makes those who couldn’t afford to bring anything feel left out.

Mazee hii discrimination zii

[ATTACH=full]176934[/ATTACH]

:D:D:D:D:D

:D:D:D:D:D savage:cool:

God is rich yet anataka sadaka!!!

[CENTER]
[SIZE=6]You went to visit the Mad Chef?![/SIZE]

[ATTACH=full]176962[/ATTACH][/CENTER]

Una uUmbwa sana.

It’s not the religion.or the church.

Shenji

I thought wewe Muislamu kaa mimi. Anyways, salaam aleikum

Aleikum salam

Waaat

Aiseee unatumiaga moja moto moja baridi?? hahahahahhahaha

Lol baridi tu mkuu.

Ata hukua na note ya 50? Mtu mzima lazima atembee na noty bro, ukikanyaga nyanya za hawker ama uangushe maindi ya maasai utafanyaje?

Haha Tembea PCEA mahali watu hueka kwa kabahasha na kameandikwa jina yako

Hhehe ya wapi hio