Dismiss Notice
You cannot view some content because you are browsing this site as a Guest. CREATE AN ACCOUNT to enjoy access to all content.
 1. Tommy Lee Sparta

  Tommy Lee Sparta Village Elder

  in primary school,every kid has a crush...and tommy was no diffrent...sparta had this primary swt heart called wanja.. she was beautiful and tommy was in love...

  nilikuwa na mpenda na iyo time sparta hakuwa anajuwa mambo ya threshold wala HKM,an innocent young boy sparta was...

  sasa as we all know kuna wale vijana wamerudia class moja mara kama tano, kulikuwa na bully wa class called george, think alikuwa miaka 25 in class 8, guy was huge and big na ndevu..

  kazi yake ilikuwa kusanya lunch ya wanafunzi wengine :mad:

  ulikuwa unabuy kagumu breaktime anakuja amevuka nayo anameza... :(

  kuna time alikuwa amezoea kusanya sparta kagumu siku moja nika kataa kagumu mara mbili nika enda urinal nikapakaa mkojo na then nikashikanisha mzuri....na the nigga alivuka nayo na kuweka kwa mdomo nakumeza :)
  back to heka....sasa after kcpe paper ya mwisho..kuna zile picha watu huwa walikuwa wanpigwa kama mumeshikana maboy na madame...all was well until george demanded kupigwa picha na wanja...

  wanja was the loyal type, akakataa hawezi pigwa picha na boy unless ni sparta tu...

  mimi ata sikuwa na habari nini inaendelea ...niliona uyo george amekuja kwangu na kunipiga swipper ati mbona nakataa wanja kupigwa picha na yeye:eek:

  apo niliskia machozi inanitokaa, nikajitetea lakini wapi george akanichapa teke nikiwa chini...:mad:

  maboy nao wanachocha we fight, there was no way l was going to fight this baffon,nikakunja mkia.:(


  kukaa kaa kiasi wanja came to where l was and concole me, natukatoka gate pamoja na yeye tukielekea nyumbani....

  apo ndio hii jamaa ilinionaa ikasema nafunga na wewe ikanikimbiza mbio:( na kunitandika makofi mbele ya wanja... classmate wenzangu nao hakuna aliongea...george won that day na sparta akaenda feeling like a bitch home:oops:

  fast forward sparta akaenda kutolewa foreskin, nawale walimpeleka kumshow upuzi how to be a man, maraa lazima upanguzee rosto after umepona....

  fast forward nikaenda high school banana and wazimu ya sparta ika anza....tuliandikiana love letters na wanja for sometime then tukawacha....ata george nilimsahau.. sparta akafika form four na akakuwa Alfha male kule kwa karani 106 ..

  then siku moja tukitoka shule tukapatana na george...:) amevaa track suit ana jog:)

  fala anajifanya ati hajui mimi. . :cool:

  sparta......George Kiuna?
  george...aaaah vepe!
  sparta...unanikumbuka?
  george....aaah apana!
  sparta....ooh sasa umenisahau:mad:
  george.....sitaki noma na mtu mimi
  sparta...george yani hunikumbuki?
  george ....may be unanifananisha
  sparta .....nakufananisha hadi jina george kiuna..

  george....apo sijui bro!
  sparta ...:mad:si ulisoma kamuiru primary?
  george....yeah nilisomea uko!

  apo apo ndio George alikula teke ya chest...na ngumi za kichwa....
  maclassmate nao wakanijoin kutandika hii burukengee...
  tulipea beating hadi nguo za jogging zikararuka...na kuzivuta boy akabaki na boxer...bleeding kwa pua na mdomo... wa mama walikuwa wanauza soko waka anza kupiga nduru wakisema wachaneni nayeye...mutauwaaa...
  l was so mad kwanza nikikumbuka izo memories vile alinifanya. ...

  after crowd ianze kuform ikabidii tumejitoa tukawacha george apo na boxer...


  sikuwai ona uyo boy tena after that incident...nilimuona after many years kwa chemist apo quickmatt ya rwaka nikamfuata lakini akaingia personal car... agekipataaa .karmaa apana tambua
   
  suspect, Quanstrom, mayekeke and 49 others like this.
 2. 4makind

  4makind Village Elder

  :D:D

  You got your revenge. Now just let it pass. Hii maisha ni mzunguko.
   
 3. Etiquette

  Etiquette Senior Villager

  Kuna fala aliniona war nikiwa high school nikaona kama mimi ni kihii. Penye tutawai patana na yeye atakiona alichokiona George Kiuna.
   
  Doltress, Tommy Lee Sparta and Grundy like this.
 4. dabu

  dabu Village Elder

  Mimi ni nugu fulani ilikuwa inaitwa George Ndichu pale Mururia Seco. Its over 20 years but tukipatana kona mbaya atajua hajui
   
  brother, baserock, introvert and 3 others like this.
 5. Ice_Cube

  Ice_Cube Village Sponsor

  :D:D hii imenikumbusha pia mimi jamaa fulani alikua anaitwa Enock. Gave me a hard time in boarding primo :D he even made made me resign as a prefect in Class Six juu kila siku ilikua uoga tu juu you do not know what awaits you. never met him after school
   
  Luther12 likes this.
 6. Grundy

  Grundy Village Sponsor

  :D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D.....nimeraruka offe kila mtu ameniangalia ni kama nimechizi
   
 7. karema-hitI

  karema-hitI Village Elder

  So, ulidinya wanja au la?
   
 8. Grundy

  Grundy Village Sponsor

  Looks like all village mbirrionaires were cowards always getting the shit end of the stick.
   
 9. Chifu

  Chifu Village Elder

  Hehe...swali nyeti. Hekaya si hekaya ka hakuna part ya threshold kufikishwa
   
 10. lawi

  lawi Village Elder

  Nice hekaya. :D:D
  osungu.dll file nayo imecorruptiwa hapa
   
  Luther12 and introvert like this.
 11. Grundy

  Grundy Village Sponsor

  Huyu muwache......For TSL tunakuwanga tumemake a special exception.
   
 12. lawi

  lawi Village Elder

  :D:D:D:D:D:D:D:D
   
  Grundy likes this.
 13. Tarantinoh

  Tarantinoh Village Elder

  I once met my primary school bully, he is a 5,3' janitor, never grew an inch since primary school, I pitied him, I could see him visibly shaken to see me.
   
  mayekeke, bluetooth, Joel and 10 others like this.
 14. Kasighau

  Kasighau Village Elder

  Hehehe. Hekaya on point.
   
  Tommy Lee Sparta likes this.
 15. Ubongo

  Ubongo Village Elder

  Some of those bullies become very useless in life
   
 16. collo moi

  collo moi Village Elder

  I met my high school bully after form four, My cousin had offerred to teach me driving on some murram road uko ocha. Then i saw the bully Mwas akiendesha bike. Let me just say ckujua vile nlikanyaga iyo mafuta na kupita na kijana ya wenyewe, i heard he broke his leg!!
   
  pseudonym, nairobilay and Etiquette like this.
 17. Tommy Lee Sparta

  Tommy Lee Sparta Village Elder

  :D l hope mupatane naye soon
   
  Etiquette likes this.
 18. Tommy Lee Sparta

  Tommy Lee Sparta Village Elder

  :eek::eek:that some gangster shit kama tommy wa power season 4
   
  introvert likes this.
 19. imei2012

  imei2012 Village Elder

  I was equally bullied but seeing as my bullies are "struggling" with life I let it slide now I concentrate on making my kids better at adapting to school life!
   
  Joel, pseudonym, Chifu and 11 others like this.
 20. blueline

  blueline Village Elder

  Yeye pia atakupata akiwa na ma fans wake :D:D:D
   
  Ice_Cube and Tommy Lee Sparta like this.