classmate George Kiuna

Walker

Village Elder
#23
I always slipped through bullies but kuna fala fulani alikua cop aliniseti vile navuta sinyore na kuenda jam session tukiwa pale Kiserian Seminary. Nilichujwa ikabidi nikaendelee na masomo @Muranga. Naskia he became a priest but mahali ntapatana naye lazima akule at least vibare kadhaa
 
#25
in primary school,every kid has a crush...and tommy was no diffrent...sparta had this primary swt heart called wanja.. she was beautiful and tommy was in love...

nilikuwa na mpenda na iyo time sparta hakuwa anajuwa mambo ya threshold wala HKM,an innocent young boy sparta was...

sasa as we all know kuna wale vijana wamerudia class moja mara kama tano, kulikuwa na bully wa class called george, think alikuwa miaka 25 in class 8, guy was huge and big na ndevu..

kazi yake ilikuwa kusanya lunch ya wanafunzi wengine :mad:

ulikuwa unabuy kagumu breaktime anakuja amevuka nayo anameza... :(

kuna time alikuwa amezoea kusanya sparta kagumu siku moja nika kataa kagumu mara mbili nika enda urinal nikapakaa mkojo na then nikashikanisha mzuri....na the nigga alivuka nayo na kuweka kwa mdomo nakumeza :)
back to heka....sasa after kcpe paper ya mwisho..kuna zile picha watu huwa walikuwa wanpigwa kama mumeshikana maboy na madame...all was well until george demanded kupigwa picha na wanja...

wanja was the loyal type, akakataa hawezi pigwa picha na boy unless ni sparta tu...

mimi ata sikuwa na habari nini inaendelea ...niliona uyo george amekuja kwangu na kunipiga swipper ati mbona nakataa wanja kupigwa picha na yeye:eek:

apo niliskia machozi inanitokaa, nikajitetea lakini wapi george akanichapa teke nikiwa chini...:mad:

maboy nao wanachocha we fight, there was no way l was going to fight this baffon,nikakunja mkia.:(

kukaa kaa kiasi wanja came to where l was and concole me, natukatoka gate pamoja na yeye tukielekea nyumbani....

apo ndio hii jamaa ilinionaa ikasema nafunga na wewe ikanikimbiza mbio:( na kunitandika makofi mbele ya wanja... classmate wenzangu nao hakuna aliongea...george won that day na sparta akaenda feeling like a bitch home:oops:

fast forward sparta akaenda kutolewa foreskin, nawale walimpeleka kumshow upuzi how to be a man, maraa lazima upanguzee rosto after umepona....

fast forward nikaenda high school banana and wazimu ya sparta ika anza....tuliandikiana love letters na wanja for sometime then tukawacha....ata george nilimsahau.. sparta akafika form four na akakuwa Alfha male kule kwa karani 106 ..

then siku moja tukitoka shule tukapatana na george...:) amevaa track suit ana jog:)

fala anajifanya ati hajui mimi. . :cool:

sparta......George Kiuna?
george...aaaah vepe!
sparta...unanikumbuka?
george....aaah apana!
sparta....ooh sasa umenisahau:mad:
george.....sitaki noma na mtu mimi
sparta...george yani hunikumbuki?
george ....may be unanifananisha
sparta .....nakufananisha hadi jina george kiuna..

george....apo sijui bro!
sparta ...:mad:si ulisoma kamuiru primary?
george....yeah nilisomea uko!

apo apo ndio George alikula teke ya chest...na ngumi za kichwa....
maclassmate nao wakanijoin kutandika hii burukengee...
tulipea beating hadi nguo za jogging zikararuka...na kuzivuta boy akabaki na boxer...bleeding kwa pua na mdomo... wa mama walikuwa wanauza soko waka anza kupiga nduru wakisema wachaneni nayeye...mutauwaaa...
l was so mad kwanza nikikumbuka izo memories vile alinifanya. ...

after crowd ianze kuform ikabidii tumejitoa tukawacha george apo na boxer...

sikuwai ona uyo boy tena after that incident...nilimuona after many years kwa chemist apo quickmatt ya rwaka nikamfuata lakini akaingia personal car... agekipataaa .karmaa apana tambua
Let it go Sparta, let it go
 
#27
In my high school we had a compound prefect who was in form 3 and I was in form 2. The form2 duties were to clean the pit latrines around the school. I happened to be allocated one near classrooms so frequently messed ( by the way I have never understand how one misses a hole). pushing down the downloads kwa shimo was not easy. This guy hated me son much that he made me wash the toilets for two terms. After finishing high school we accidentaly met in Kampala while in campus. I ganged up my colleagues and we attacked the guy mercillesly. it turned up to be a street fight with boda boda guys who joined thinking it was a Kenyan thief.
 
Okwonkwo

Village Sponsor
#28
in primary school,every kid has a crush...and tommy was no diffrent...sparta had this primary swt heart called wanja.. she was beautiful and tommy was in love...

nilikuwa na mpenda na iyo time sparta hakuwa anajuwa mambo ya threshold wala HKM,an innocent young boy sparta was...

sasa as we all know kuna wale vijana wamerudia class moja mara kama tano, kulikuwa na bully wa class called george, think alikuwa miaka 25 in class 8, guy was huge and big na ndevu..

kazi yake ilikuwa kusanya lunch ya wanafunzi wengine :mad:

ulikuwa unabuy kagumu breaktime anakuja amevuka nayo anameza... :(

kuna time alikuwa amezoea kusanya sparta kagumu siku moja nika kataa kagumu mara mbili nika enda urinal nikapakaa mkojo na then nikashikanisha mzuri....na the nigga alivuka nayo na kuweka kwa mdomo nakumeza :)
back to heka....sasa after kcpe paper ya mwisho..kuna zile picha watu huwa walikuwa wanpigwa kama mumeshikana maboy na madame...all was well until george demanded kupigwa picha na wanja...

wanja was the loyal type, akakataa hawezi pigwa picha na boy unless ni sparta tu...

mimi ata sikuwa na habari nini inaendelea ...niliona uyo george amekuja kwangu na kunipiga swipper ati mbona nakataa wanja kupigwa picha na yeye:eek:

apo niliskia machozi inanitokaa, nikajitetea lakini wapi george akanichapa teke nikiwa chini...:mad:

maboy nao wanachocha we fight, there was no way l was going to fight this baffon,nikakunja mkia.:(

kukaa kaa kiasi wanja came to where l was and concole me, natukatoka gate pamoja na yeye tukielekea nyumbani....

apo ndio hii jamaa ilinionaa ikasema nafunga na wewe ikanikimbiza mbio:( na kunitandika makofi mbele ya wanja... classmate wenzangu nao hakuna aliongea...george won that day na sparta akaenda feeling like a bitch home:oops:

fast forward sparta akaenda kutolewa foreskin, nawale walimpeleka kumshow upuzi how to be a man, maraa lazima upanguzee rosto after umepona....

fast forward nikaenda high school banana and wazimu ya sparta ika anza....tuliandikiana love letters na wanja for sometime then tukawacha....ata george nilimsahau.. sparta akafika form four na akakuwa Alfha male kule kwa karani 106 ..

then siku moja tukitoka shule tukapatana na george...:) amevaa track suit ana jog:)

fala anajifanya ati hajui mimi. . :cool:

sparta......George Kiuna?
george...aaaah vepe!
sparta...unanikumbuka?
george....aaah apana!
sparta....ooh sasa umenisahau:mad:
george.....sitaki noma na mtu mimi
sparta...george yani hunikumbuki?
george ....may be unanifananisha
sparta .....nakufananisha hadi jina george kiuna..

george....apo sijui bro!
sparta ...:mad:si ulisoma kamuiru primary?
george....yeah nilisomea uko!

apo apo ndio George alikula teke ya chest...na ngumi za kichwa....
maclassmate nao wakanijoin kutandika hii burukengee...
tulipea beating hadi nguo za jogging zikararuka...na kuzivuta boy akabaki na boxer...bleeding kwa pua na mdomo... wa mama walikuwa wanauza soko waka anza kupiga nduru wakisema wachaneni nayeye...mutauwaaa...
l was so mad kwanza nikikumbuka izo memories vile alinifanya. ...

after crowd ianze kuform ikabidii tumejitoa tukawacha george apo na boxer...

sikuwai ona uyo boy tena after that incident...nilimuona after many years kwa chemist apo quickmatt ya rwaka nikamfuata lakini akaingia personal car... agekipataaa .karmaa apana tambua
hekaya poa lakini umesahau kutwambia vile ulikamua wanja.
 
#33

Sparta ninicome home in Dec, nitakuinbox tukakule nyama hapo Kigwaru Inn if it is still operating. Last time nilikua those sides niliona imesukumua sana by the new raves in Ruaka and Ndenderu. My friends live around there and we had a good time with their Ben 10s in tow.
 
#35
ukiwa area link up inbox...ama email on hadikwamkia@gmail.com :)
Woooi woooi woooi words fail me Sparta. The email add:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D. I think I will stick with the inbox. I am kinda vv familiar with that area. I have my taxi man hapo Ruaka to ferry me home huuuko juu to the cold areas or to my Sistas kwa kina Birrionare @nairobilay huko leafy burbs. He is waiting for me sana for xmas. I meant the taxi driver.

I will def get in touch.
 
Last edited:
#36
Woooi woooi woooi words fail me Sparta. The email add:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D. I think I will stick with the inbox. I am kinda vv familiar with that area. I have my taxi man hapo Ruaka to ferry me home huuuko juu to the cold areas or to my Sistas kwa kina Birrionare @nairobilay huko leafy burbs. He is waiting for me sana for xmas.

I will def get in touch.
rwaka mtaa yangu... 106 ndio sparta amesomea izo area za gacharage na ndenderu na zitambua sana...

pale george alipataa beating ni pale junction ya kuenda na slaughter unaitambua?
 
#37
Yes I do, nilicheka sana. Mathree zangu nikiwa tao ni hizo 106 ama 107. Nishuke Ruaka nichukue taxi hapo Ruaka niende either way. To my Sista's ama... home way huko karibu na baridi kubwa.
Wooi do not mention Gacharage\Ndenderu, we might now be related.
 
#39
Maybe hehehehe... but this is a small world we are living in. Kasaman spoke about Kiambia heading to Gathanga too...if I could share!!!. We will chat before I turn up as I am beginning to think I am talking to someone vvv close to 'home'.
 
Top