Cldnt help letter to my bro

LETTER TO MY BRO WHO DID #KCSE2017

Dear Bro,
Manze Leo itabidi umelala huko mahali ulienda asubuhi juu sidhani Dad amekungojea mpike ugali Nimejaribu kukutetea mzae atulie at least nikaulizwa kwani nataka kujiapisha kwa nyumba yake ikabidi nimewithdraw Wallahi, si mzae ameshtuka juu haamini amekuwa akiishi na ng’ombe mbili kwa nyumba na huwa hazikamui ( Me & U) . FYI, hata nimeskia akisuggest ati jioni tupikiwe Napier Grass juu yenyewe results zako zinaonesha wewe ni ng’ombe ya grade Lakini surely bro, yaani uliamua result slip yako itakuwa na D mingi hiyo design ? Kwani ulifanyia exam Sabina Joy bro ? Ati mpaka inakaa ni kama naonesha watu nudes kwa simu juu ya venye naficha hizi D? Haidhuru. Btw kuna maneiba wanasema utawarudishia pesa yao ya kukununulia success card ati ungefaa utumiwe kamba ujinyonge tupatane Canaan Lakini saa zingine pia wewe hunibamba. Yaani, mpaka CRE ulikwachua D mpaka mzae anauliza ni pastor mgani anaeza kubali kukubatiza Nimesuggest, Pastor Kanyari nkaambiwa ninyamaze ama nikufuate ; so inaonekana itabidi umejibatiza jina yako ya FB - “Maji ya Ugali”

Anyway, yaliyopite si ndwele lakini hii yako haipitiki Mimi sidhani utamaliza hiyo Driving juu mzae ameshatafuta Fundi wa kukujengea cowshed hapa nje ati juu haamini utapita Alafu, itabidi umeambia Kevo pia yeye asirudi home juu mzae wake anataka kujua kama kumpeleka chuo ilikuwa nikubet amebet .

Stay Safe.
Urs truly,
Big Bro.

NASA waki postpone swearing in

:D:D:D:D c basi hii pia ilipostponiwa

Mourinho akiwa Manager wa Real Madrid

Fwakkin.
Nikifanyiwa curlkit 1985.

nikifunza kusema mamii

Wuon Ochi hio ndio yupi? Ama upewe Tusker?

:D:D:D
Samehea mimi.
Ni hasira. Imerekebishwa.

SeriouSilly?

Hii ni mpya

Alikuwa kijana mang’aa one nineteen eighty five