Trucks aside, hii ni MAN TGX D25 double teriou 16 speed automatic transmission wire ya umeme
[ATTACH=full]254456[/ATTACH]
if I remember my Geography, ADDITIONAL AXLE are to mitigate weight… Max 70 passengers should at most be 7 Tonnes .This is cosmetic
geography au mazematics
For passenger vehicles it’s also about comfort
It’s such a long time… can’t distinguish the difference
oh ok.
Yaani nyinyi wore mumemeza uongo hook line and sinker? Hamuoni ni photoshop(hint: the stones)
hehe, shhhhhh
and its not stones ni plastic bottles
ya kukimbia wapi?
Pita A104, utaona impunity ya hizo ghasia
Karibu niulize kama Kush leo anasafiri na basi lakini wacheni tu
Elder Chiethsman, in the 50s, kama ungekubali kurudi shule after lunch, you wouldn’t have missed the lesson where the correct spelling of Triple was taught.
[ATTACH=full]254462[/ATTACH]
Physics
should be 3 Ps btw
A109 Official speed ya bus ni 110 km/h. Kama si heshima kutoka kwa truckers kungekua accident mingi sana. Drivers wa bus hu overtake vibaya, wakikimbilia chakula free mtito andei
ii ilikua pale Jamii Forums 2017, Battle: Dar es Salaam vs Nairobi
Hii even my half blind grandma would tell ni photoshop…