Lichoti analisha huyu mtoto nini…
[ATTACH=full]342885[/ATTACH]
Wueh! Alivuka boda?
Huyu badala ya kusoma anaenda kukula kwa dining hall
Ni njaa inamsumbua saa hii
Huyu asipelekwe boarding tena. Reduced food will kill hii kijana since he was used to eat from sufuria.
Huyu ni son wa Ndindi Nyoro