club cubano

Status
Not open for further replies.

Davidee

Village Elder
#1
Sijui mbona watu hujiingiza kwa biashara na hawajui how to run a good business...This club right here in greenspan is very poor in customer service...ive never seen a waiter come and ask me what i will have...why would you open a club and not hire waiters...if you are going to do something please do it right...and it starts with customer service.
 
gashwin

Village Chief
#4
shida ya wakenya; unaona mwingine anafaulu kwa biz fulani na sababu uko na tupesa tuna lala mahali unakimbilia na huna time ya kuipatia personal attention.
 
emali

Village Elder
#5
Wakenya ni wazembe sana..ununue pombe for ksh200 na u expect uletewe hadi kwa meza...mimi hurudisha hadi glass kwa counter
 
murangiri

Village Elder
#14
Wengine u go loaded, unaitisha kibao wanakuangalia vibaya hata haezi kupatia glass, na anadai cash yet niwewe pekee unakunywa na cash wengine wakonabill, ukimaliza unaitisha chupa wanaanza kusmile by the time uko chupa ya nne hata washaanza kukupa story na namba. By 8th ninunulie kamoja na ushaanza kuandikiwa bill. These bitches
 
Mathaais

Village Chief
#16

Hoes are attracted by money.Sasa ukienda kuitisha Kibao na maybe umevaa T-shirt ya Arsenal unadhani watafikiri aje?.....haka ni kahustler kamesota.
 
emali

Village Elder
#18
When you sell that drink at 200, people come for the service they get, not only the alcohol. So, kama wewe hujipelekea glasi, usifikirie kila mtu ana hiyo time.
Kama unakunywa pombe kwa bar uko na hiyo time..lakini maringo ya end month millionaires...kila nyani na starehe zake..mumi sipendi kufunguliwa pombe,milango etc the only place nitaita waiter ni restaurant
 
emali

Village Elder
#19
Service poa kwangu ni place waiters wa polite hawadai tips kila saa..wanahakikisha meza ni safi,hawana maringo za peni mbili,wanakusalimia na sio eti kuniita mzee au boss kila mara..story za kunidungulia pombe na kumwaga kwa glass sitaki..
 
murangiri

Village Elder
#20
Hoes are attracted by money.Sasa ukienda kuitisha Kibao na maybe umevaa T-shirt ya Arsenal unadhani watafikiri aje?.....haka ni kahustler kamesota.

I get ur point, but yuko kazi kumake shure sales zikopoa ndio kesho akue job. Why see mi less, en yet nimepita locals kaa 5 nifike hio place. I think as an investor, these bitches fail kwa investment.
 
Status
Not open for further replies.

Top