Siendi kutafuta wasichana jamaa. I just need a place nitakunywa mbili ama tatu nirudi kejani. And who takes strangers to his house in this day and age??
Mojo's nilipata kunabore. Niko Tribeca ni Karaoke night. Club is full though walevi wanabore na story za ufala. Kuna jibaba limekam kunisumbua...kwani kuna mafag huku...how the f**k can a grown man kam ashike mtu waist halafu aniulize nakunywa drink gani...kimzee cha over 40 years...people are twisted. Na anaona Niko na drinks zangu...mpaka madame hapo wakashangaa. I am really embarrassed right now