Nimeangukia gazeti ya 1999 leo nikasema nione maneno nikapata katun ya uncle ya anko nyap akinyanyaswa na anko ya @introvert
Ni hayo tu kwa sasa wacha ni deal na defaulters
[ATTACH=full]126694[/ATTACH]
Nimeangukia gazeti ya 1999 leo nikasema nione maneno nikapata katun ya uncle ya anko nyap akinyanyaswa na anko ya @introvert
Ni hayo tu kwa sasa wacha ni deal na defaulters
[ATTACH=full]126694[/ATTACH]
:D:D
:D:D:D
Uncle unaenda blankets and wine? Nimeskia kutakuwa na momo na unaweza meza gilbeys mob sana
Niaje msee wa ufc?
2002 inakuwa aje 1999
Shocks ulisomea literature shule gani ?
Mkisii niko powa
Lazima nipeleke bibi na huko mimi hunywa Jameson tuuu
Iko when AFF
Uncle hizi banks zitamalisa watu.
Swaf!
:D:D
Panya toa kipara hapa.
Branch ya akina Ankoli iko neiba hapa job naona wamechota mbuzi na sofa mzee. Hio sofa labda wauze mia moja.
Hapo ni kupiga mjamaa psychological warfare
Ankoli huwanga KWFT, Ndio ako na umama hivi.
I hope hautabeba hile pranketi yako ya man cave aka kichinjio…o_O
Aviator cheza chini
it’s 2012