Colombo is heading to Kisumu city,

Nitume mini ama picha nikikamua mudfish Mesani, RUMXB na Stan b na ondes napitia, @mokanika na @uwesmake niletee nyingi mumi

Sio kwa ubaya lakini wasee uenda ocha wakati ya Easter in my eyes hawana akili na wanatabia ya kiocha ocha hivi.

Mimi huwa nayo Sana Bana, but ngoja Nifike kismu I see my mum, sweep inakuja, then tuma kinywaji, naieleweke niligrow ocha

Go see your parent. Commendable.

Wamenunua cladi za Easter :D:D
[ATTACH=full]234359[/ATTACH]

Lovely city but stanb ilichapa don’t waste your time there!

Ukifika Muhoroni holla.

Kisumu mutwange hyacinth Tunataka kamongo live

Mnaenda ocha Friday alafu muanze rush ya kurudi Nairobi on Sunday or Monday …saizo PSVs zimeongeza fare 3 x fold. Muanze kulia serikali saidia on the 7pm news.

Tuko na personal cars. Hatutambui PSV

Enda ocha polepole.
Drink responsibly

[ATTACH=full]234371[/ATTACH]

Hiyo siyo shida yako boss, deal na ivone matako chapati, na wanyanye, bila pupa, Sisi tunapambana na Hali yetu n we proud,

Jam nyingi, sitakula lakini Makalu lazma nikiwa naks

Matako ya shoste unajua hata njia ya kwenda kwenu ocha ama hakuna kitu kaa hiyo

Kamano Jaduong’ ambia iyo iyo kichwa ya mbuta ukweli wote. Usisahau kumuodo mbuta properly. Journey mercies

Kamongo yaaja, nt

Kamongo na mumi

Hapo no Salgaa?

Hapo sawa

Natambua zote,Baba,kwani panyachieth analipa ndo aongeee

Leo barabara ni mteremko nimeenda tao na nikarudi mtaani in less than an hour…io holiday inafaa muongezewe wiki moja.