Coming 2 America (2020)

Wame announce Coming 2 America inanguka next yr.

[ATTACH=full]254015[/ATTACH]

Wale wamekula chumvi hapa can relate after watching ya kwanza (Coming To America (1988) back in the day.
Hizo zilikua siku za vhs waay before vcd,dvd,blu ray( wamlambez generation hawawestambua).

Enzi hata ku watch nyasaikonye za kina Ron Jeremy na pornstar wengine zilikua via vcr player. Ole wako stima zikipotea mki watch, options zilikua ku unscrew vcr kutoa tape ama kungonja standby hadi stima zirudi tape isianze kucheza mzae akiwa area. Tumetoka mbali kweli.

Prince of zamunda in US hehe

Bro, that swahili yako even Tanzanians hawataelewa. But nice! loved this movie

:smiley:

Now wakanda

Nini hujashikanisha buda

The guy was talking normal swa.

Sawa buda

Habari ya pwani lakini?

Tuko sawa kabisa huku lakini wahuni wameongezeka sana wanasumbua sana.

Eddy Murphy kwani hazeeki ?

:D:D:D
Reminds me of a read a while back jamaa alichapanisha vcd player ya home juu cd ya porn ilikuwa ndani stima ikilost. Ikabidi ajifanye chizi for a week to cover his tracks

ron jeremy???chief ulianza tabia mbaya zamani… meanwhile wesley snipes hajaivunjwa pia

Uyu alikuwa wa Kwanza Ku act black super hero movie Kali Sana inaitwa Blade zile enzi,but hakutambukika kama black panther

:smiley: zile vitu hi 8-4-4 imenifundisha wacha tu

hizi black panther ni kukuwa overated tu na kuskumwa juu na social media…kwanza were it not for social media ata some shagzmod hawangeajajua wakanda ni nini…

Alikua na ma movie kali back in the day pia kina New Jack City, Passenger 57. After hio case ya tax evasion career yake ikaenda downhill

Black panther Ni mafi . Wesley snipes is top 3 best African American combat actor ever