Confirmed: Nimehama officially

Today was the D Day…Leo officially nilikuwa nahama…the day has been crazy of course with some savage moments of course…

Leo niliamka nikapanga stuff zangu nikahire gari mathe akadai kukam kucheki keja ao sisi hadi ngong road. tukafika iyo place. kuingia tu kwa compound mathe akanice na iyo environment. tukiendelea kuenda ivo nikacheki yellow yellow flani alikuwa anaanika nguo manze alikuwa na matako aki anani na saa hio akona mini weeh. Mecho iling’ara chini ya maji. the ‘good’ thing about that place is that it has a lift but me being a young man i prefer to take the stairs its a form of exercise. Lifts encourage laziness and are for lazy people. the only people who should use a lift are those over who are retired and over 60 years of age eating their pension slowly the likes of @gashwin and @Meria Mata. I was to take the stairs lakini mathe akadai hawezi so ikabaki tumetumia lift. kufika kejani nikafungia tukaingia. mathe akanice na keja yake yote. lakini akacriticize mbona nilichukua nyumba haina kitchen ati hiyo ni kuibiwa. nikamwambia iyo iko poa. nikamwacha nikateremka kuchukua bags zangu zilikuwa na nguo na viatu. kurudi napata mathe ameingia bedroom akanice juu ilikuwa na ward robe. She offered to buy me three things : a bed, a mattress and a two seater. I insisted that i will get them sorted but akakataa akasema atazibuy nikasema ni sawa. She was generally happy with how I had stocked the house.

Nikaskia amenishow kuna ile mall yenye nimeona tumepita before kufika hapa. Nikamshow inaitwa junction mall akadai tuende huko anataka kununua vitu arudi nazo. nikajua hii ni uongo anataka kuninunulia vitu mi hujua mathe vizuri. tukashuka hivo tukaenda huko junction mall. nikabaki car park mathe akienda carrefour kubuy hizo vitu. after minutes nacheki mathe amekam na vitu mob ikanikumbusha siku nilikuwa nareport form one. nyumba yake amefuatwa na mtu amebeba mattress. mkononi alikuwa na some bags zilikuwa na vitu kama mchele 5kg, plastic cups, mwiko ya stew, kifuniko ya kufunikia sufuria nikipika, kichungi, unga ya uji, unga ya ugali, kichungi, toothpaste, toothbrush na kajug,saviets na vitamba kama nne ya kupanguza vyombo nikimaliza kuziosha na floor mats tatu. Alikuwa pia amebuy electronics i.e iron box, electric kettle na pressure cooker ya kupika maharagwe ama dengu juu sikuwa na jiko. God bless this woman. I even wondered vile mathe alijua hizo vitu haziko lakini ni kama alifanya survey nikiwa nimeteremka kuchukua bags zangu za nguo. nikamsaidia kueka vitu ndani ya gari. After hapo tukaanza kurudi. Hapo kwa main road kunakuanga na workshops kadhaa za kuuza vitanda, viti, meza, wall units. So mathe akaanza na kubuy two seater. Alafu kuenda kubuy bed nikauliza huyo msee kama akona bed ya 3×6 nikaskia mathe amenishow “3×6 kwani uko shule hii urefu yako haitatoshea hapo huezi lalia kitanda ulikuwa unalalia high school. Hii kwanza ile siku Candy (hekaya for another day) atakuja kukutembela si mtafinyana bure”:D:D:D. Savage mom there. Akadai huyo msee amletee 4×6 nikajua hapa usingizi itaniua tu. She even bought a table something she had not even offered to buy. She paid (it must have cost her a pretty penny) na izo vitu zikaekwa kwa canter tukaenda nazo hadi kejani. kitanda ilikuwa imekuwa dismantled. zikapandishwa juu zote. hao wasee wakanifungia kitanda (,sikuwa na tools za kujifungia). meza ikaeka bahali yake. two seater pia ikaekwa bahali yake.

nikapandisha zile vitu mathe alibuy nikazieka mahali inafaa. floor mats moja ilieka nje ya bafu kukausha maji nikitoka, moja iliekwa nje ya mlango ya kutolea vumbi na ingine iliekwa ndani mahali pa kuachia viatu. matress nayo ilikuwa ya sweet dreams heavy density with a blue cover. what i hate about heavy density matresses is that unafeel ni kama unalalia mbao manze. hizo.matress huwa hazisink joh. Na zikisink ni after about 2-3 years but with kungrus and constant copulation hiyo itasink faster. Nikaeka bedsheet na duvet juu. bed ilikuea set. Nikatoa nguo na viatu kwa bag nikazipanga vizuri kwa wardrobe. Nyumba sasa ilikuwa set kabisa. Sasa ilikuwa wakati wake wa kuenda. Before aende nikaskia amesema “Sasa najua wale wasichana nakuonanga nao utakuwa unawaleta huku” :D:D:D:D savage mom. Nikacheka tu. So akatoka nikafunga nyumba. Tukangoja lift ikakam tukaingia so kuingia lift ile yello yello nilikiwa nimecheki ikianika nguo ikapita. Saa hiyo ass manze inabounce bounce alafu ironically uyo yello yello akipita lift ilikuwa tu open ilijifunga after ameshaenda. Alafu mathe akatoa bomb “Najua uyo kesho atakuwa kwa kitanda yako”:D:D:D savage mom. Niliangalia mathe nikamuuliza ni nini hiyo amekunywa leo manze kuna vile ana mbaya mbaya walai. Akanishow yeye ako sawa anafurahi juu mimi nimehama kwake. Anaeza ishi na amani at last. Nikafurahi tu. Nikarudisha mathe hadi mtaani alafu akanishow “Sasa ni wewe na dunia” na juu gari nilikuea nimehire for 24 hours imebaki nimerudi nayo hadi hiyo place. ntairudisha kesho after nimebuy viazi, kitunguu na nyanya.

Na vile @Deorro alisema lazima niite kunguru asafishe nyumba ndo majini ziende. Nimeita kunguru flani ya UoN iko njiani inakam. Nimeenda duka flani hapa nikabuy packet tatu za trust studded leo lazima mtu aimbe usiku…

Unatuambia tukunjie ama some of us tulihama kabla KCSE kutoka.

You have mum issues, nimesoma nusu tu nikachoka, kila sentence mathe, puthuu.

Tf. Umefffli

Niaje ule land grabber aliwacha kukusumbua.

https://i.makeagif.com/media/7-20-2019/5aQdKp.gif

Do you still hold your mom’s hand when you walk together?

Weka picture evidence kubaff
Bado natambua unaishi na mama

House warming nilini ?1

Wacha nilete chai ya housewarming tukunywe na elders.

[ATTACH=full]249360[/ATTACH]

Kijana, congratulations are in order. We understand your excitement, but must you give a blow by blow account?
“Nikaamua kwenda kwa duka. Nikapiga step ya kwanza. Halafu ya pili. Halafu ya tatu…nikapumua. Nilibreath in kwanza, alafu nika breath out.”
Jameni.

Okii hata ikiwa we were vorrowing your move, we do like a summary! nimechoka half way.

Huyo alikua @Motokubwa . I have land in UAE

[ATTACH=full]249375[/ATTACH]

Mbicha hapa ni muhimu…athawise peleka mharo na huko…>>>>>>>>>>>>>.

Unaishi Kona, Kawangware ama Kilimani(Kibera, Adams blah blah)?

Those are the places close to Junction mall, yes?

@kijana ya mathe Leta evidence ama hii ni @kelele tuu

Nice! Hope you appreciated what your mum did for You. That’s what memories are made of when she won’t be around one day.

Man this is the sweetest breakfast i currently miss. When staying huko ocha this was the norm. Amazing.

how old are you? I hope this story is not from sbdy older than 25