Congolese weddings are lit

https://www.youtube.com/watch?v=g2w7Yu4hMYE

Swafi sana ata mutu anafeel anaoa tu aki wachana na hizi za uku boring ata bwana harusi anaboeka

Hizi hapana siwezi penda kuwa guest.

@BBIsiMuhimu anakaa mtu wa kupenda hizi ujinga.

In fact I believe hizo wiki hakuwa ktalk alikuwa ana practice dance moves za wedding ya ndugu yake huko Rumuruti. Plus kufanya shopping ya viatu za kudance. Choreography and coordination. Juu anataka miguu zipelekane na beat. Na pia alikuwa in charge of selecting the music so he needed some time off to do adequate research on the best Kikuyu hit songs.

He had to view black conscious videos for suggestions. Mwishowe waliimba to firirinda. No one wanted to dance to burning spear anthems.

Compare this to firirida

We have to enjoy occasions as we deem fit. This is really good. Hata firirida is good too. Life is too short. That is their culture and I tell they live big and FAKE. Afathali they borrow a bank loan to throw a lavish wedding:(. Sisi tunatokea kukula heeeeeppy.
Same culture as West Africans and our Jengs.

From my experience, harusi za maskini ndio huwa na hizi mbwembwe ile unapata MTU anadance mpaka trouser na koti zinararuka. Sisi aristocrats consider such as a waste of time and energy.
My village mate who has lived in vitongoji duni all his life insisted on a Prado and Mercedes on his wedding day na hakuna kitu tungeweza mwambia.

WaCongomani are full of life and huishi leo not kesho. Hizo wedo hua pia time ya kushow off latest expensive shoe ,shirt direct from Europe .Attended a wedding once nacheki beste hajatoa price tag bado thought alikua amesahau nikamshow, akasema zii ni deliberate, ndio ya kushow wasee. Parties 4 sure are lit…and loud.