Conniving Kenyans.

Nimweitwa Goat eating ceremony hapa Utali, the Luhya in me nimeleta appetite yangu yote, kumbe ni harambee. Nkt. Yaani siku hizi harambee inainaitwa “Goat Eating Ceremony”?

Yes, Ni kyi

ni kuitisha tu pesa.

i thought the saying "there’s nothing like a free lunch (read that as goat!) has been with us since before we were born…

usiwahi enda Goat eating ya msapere …utajipata wewe ndo ile mbuzi ya kulwa

2 Likes

Hahahaha there was some hilarious listing about this on klist.

Reminds me of a wedding committee meeting I attended where the budget for organising a pre-wedding harambee was 180k.

Sii kurudi hapo tena.

I attended the wedding which I was told cost upwards of 1.8million.

Na sii watu wako na pesa ya kupeana …!

I remember it. Had lots of comments.

:D:D:D:DThief jam thief situation.

Hata house warming ni harambee. Don’t attend such chieth.

1 Like

just another polite way of robbing kenyans their hard earned cash…nyama kula kwa butchery

been there…yaani even afta raising substantial amount of cash…the organisers had the audacity to serve us two pieces of meat…bure kabisa.am sure it was just few kgs of meat…hakuna mbuzi hapo.nkt

Hehe…wasaaaapere. They are sweet talkers lakini they have inward thinking genes.

rule number one hakunanga kitu ya bure bana…

boss kama utatutusi at least explain in a way we can understand.

better still, weka mbisha ya hizo genes…

na vile nilikuwa napanga kuinvite mabeste for" goat eating " ni reduce madeni kiasi,lazima nitafute jina lingine any ideas?

[ATTACH=full]1728[/ATTACH]

1 Like

:smiley: :smiley: :smiley: :smiley:

Deorro,hata kama wewe ni moderator na hata kama sisi wote tunamiss KLost,wacha kutukumbusha. We moved on…apparently YOU have not!!!

Stop taking your handle name way too serious