consignment

Niko na a consignment of floor tiles ziko mahali,60cmby30cms,ziko 2types plain na zingine ziko na sketches za maua,20cartons each na each carton iko na 8 pcs,grade1

Bei per carton?

Consignment? I thought ni container mzima. Kumbe.
Haya weka bei ([SIZE=1]hope not stolen goods)[/SIZE]

Can’t relate I [SIZE=7]Don’t buy stolen goods.[/SIZE]

Kumbe u deal with stolen goods

ni hustle bana

sasa umetuambia tufanye nini? kama unauza weka bei na upost pic ya hizo tiles

You just confirmed that u deal in stolen goods.

Piga hesabu hivi umeandika fundi tatu na watu wa mkono tano. Kila mtu jioni anatoka na tile moja. After 5 days wakameat atakuwa na box tatu za tiles. In a month atakuwa na 12 dozen of tiles.
No wonder hii humbwer @Motokubwa huwa ikilia shida kila saa juu ya kudeal na mali ya wizi.

Hawa ni wale constructors unakutanga kwa site wako na mdomo kauka alafu amekuvalia corduroy ya brown imechapa na kiatu sahunya inaitisha usaidizi juu imetumika 4 a long time bila kuona maji.

Wakati ya lunch yeye pia uenda kukaa na his mjengo workers hapo kwa mama githeri na Chapo wa site na pia yeye anakopa banae…

Imekaa pale juu ya jiwe na sahani ya plastic inachew githeri alafu inapanua hio mdomo yake kauka…ati mathe hii githeri haina nyama kwani? Mmatha anamcheki tuu

siwezi kula chakula bila nyama,hakunaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,liwe liwalo

Hawa no mafundi bandia we should petition matiang’i Tu deal with. Kuna Fala flani fundi aliniaribia simiti zangu 40. Alifanya shoddy work kwa septic tank yangu Hadi waleo huwa inaingiza maji.
@Motokubwa kama haujui kitu usipelekee mdomo kwa site ya wenyewe.

ni siku gani watabeba cartons?

naenda kwa site kufanya nini?

Kidogo kidogo hujaza kibaba. Kwanza kwa misumari ndio tuna umia Sana. Kila siku quota ya mabati imesanya.
I guess umejenga pigsty na mabati za wizi.

naenda kwa site kufanya nini?na wewe unatakiwa uwe ndani ya hio septic juu hata wewe ni meffi

Mimi ni big wig ukingia store zangu zimejaa Mabati,

[ATTACH=full]238672[/ATTACH][ATTACH=full]238672[/ATTACH]

lete umeffi Sasa ndizo hizo samples

Niaje @WiseGoat