Cooking with chef Kush

Following in the footsteps of chef @Gio Raphael. Cooking ugali for supper.
[ATTACH=full]85677[/ATTACH]

Supper is ready and served. Now ni kumenyana na obusuma kama ule mujamaa wa poshomill alafu nteremshe na Barbican baridi.
[ATTACH=full]85676[/ATTACH]
Baadaye majamaa …

22 Likes

Hiyo sembe yote utamaliza Kush?

2 Likes

Haki am salivating. Eat it hot kanono

1 Like

wapi greens muyamaa

9 Likes

Hio ugali weeeeeh

1 Like

Quick question @kush yule mnono , Kwani there is an ongoing rationing of the chicken. That portion looks like just some bitings, where is the real chicken to down the ugali

3 Likes

hiyo sembe siwes shiba maybe tano kama hizo na skuma wiki na pilipili

10 Likes

hakuna greens ? .hii itatoka kwa tumbo wednesday next week

5 Likes

Alikulia kwa jiko

6 Likes

Hiyo ni nini inakaa viazi? Ama ni ugali na viazi for dinner

3 Likes

Mwanaume hapiki magreens akiwa peke yake !

6 Likes

Hata ile mbichi ni sawa tu, bora iwe green…

2 Likes

Collards kushe alafu itakuwa fiti

1 Like

upuss

4 Likes

Tosheka na Chakula ya njiwa.

6 Likes

Hii ni viazi[ATTACH=full]85678[/ATTACH]

inakaa hiyo kazi mpya ina lipa vizuri hadi una kula kuku siku hizi… shukuru Mungu

5 Likes

You think the Word “mnono” in “kush yule mnono” is his name?
It’s a description.
Mwili haujengwi kwa mbao?

9 Likes

Waru na gima? Tiga uguruki

Mzito ashashiba. Wacha sasa nione mnasema nini

1 Like