[ATTACH=full]122300[/ATTACH] Wadau hii ndio inaitwa fried rice and smoked meat. Chakula ya bachelor.
13 Likes
hapana tambua nyama haiko marinated #GioThings
9 Likes
CID 1 kwani pombe imeisha kwa kichwa.
naelekea nyumbani… nangojea prospect aseme atarudi kesho nyumbani nibebe.
Tafuta khubibi uwache hii nomadic life.
6 Likes
That’s a restaurant though, hio si crib ya bachelor
1 Like
Tupikie kuku sasa to celebrate birkini edition[ATTACH=full]122301[/ATTACH]
8 Likes
Hii nyama iko marinated then smoked alafu on the mix kuna pia mushrooms.
Machakura ya hoteli hapana tambua.
3 Likes
Thats delicious Stanley Mujwahuki.
1 Like
Unabomoa kabati Sunday!
1 Like
wapi Ugali ? o_O
3 Likes
Leta mahindi ya serikali kwanza
good food but presentation iko a bit wanting.Take it from a chef.
1 Like
Unga ya ukweli ni ile ya kisiagi haiko Sifted
1 Like
Hii kuku iko na knocked knees:D:D:D:D
2 Likes
Kwani miwani ni mdomo?
1 Like
Akila nini? :p;)
Do you smoke the meat yourself?