Today I saw what @paparazzi was eating for lunch and due to my hunger combined with having not eaten pilau for some time, I decided to cook some Pilau this evening.
Recipe nlitoa hapa
http://jikonimagic.com/beef-pilau-recipe-how-to-make-beef-pilau
First off, I prepare the basic ingredients nyama nlikuwa nimechemsha
Nikaseti mafuta na kitunguu, but ingefaa nianze na kufry spices but it's ok
Nikaweka bay leaves, then nyanya. In hindsight, hizi bay leaves ningekata ziwe ndogo kiasi
Lazima jingefanya konfameshen nijue progress iko vipi...half the meat iliishia kwa konfameshens
Then nikaweka pearl pishori my favorite rice
Nikakoroga na kuacha for a minute flavor iingiane
Then nikaweka maji na nikafanya konfameshen ya salt
Hizi zikichemka, nikaendelea kuunda onion rings na nyanya for kachumbari na pia nikatayarisha Dania
Maji ikaisha nikajua imeiva nikaweka dania na kukoroga
Final product!