Cooking with @Riva

Today I saw what @paparazzi was eating for lunch and due to my hunger combined with having not eaten pilau for some time, I decided to cook some Pilau this evening.
Recipe nlitoa hapa
http://jikonimagic.com/beef-pilau-recipe-how-to-make-beef-pilau

First off, I prepare the basic ingredients nyama nlikuwa nimechemsha
[ATTACH=full]114748[/ATTACH]

[ATTACH=full]114750[/ATTACH]

Nikaseti mafuta na kitunguu, but ingefaa nianze na kufry spices but it’s ok
[ATTACH=full]114753[/ATTACH]

Nikaweka bay leaves, then nyanya. In hindsight, hizi bay leaves ningekata ziwe ndogo kiasi
[ATTACH=full]114754[/ATTACH]

[ATTACH=full]114755[/ATTACH]

Lazima jingefanya konfameshen nijue progress iko vipi…[SIZE=2]half the meat iliishia kwa konfameshens[/SIZE]
[ATTACH=full]114756[/ATTACH]

Then nikaweka pearl pishori my favorite rice
[ATTACH=full]114757[/ATTACH]

Nikakoroga na kuacha for a minute flavor iingiane :slight_smile:

[ATTACH=full]114758[/ATTACH]

Then nikaweka maji na nikafanya konfameshen ya salt

[ATTACH=full]114759[/ATTACH]

[ATTACH=full]114761[/ATTACH]

Hizi zikichemka, nikaendelea kuunda onion rings na nyanya for kachumbari na pia nikatayarisha Dania
[ATTACH=full]114762[/ATTACH]

Maji ikaisha nikajua imeiva nikaweka dania na kukoroga
[ATTACH=full]114766[/ATTACH]

Final product!
[ATTACH=full]114767[/ATTACH]

Kwani kuna Kimbo ya liquid? Haiya…

[ATTACH=full]114768[/ATTACH] Though I didn’t cook this myself, yours seems to have come out better. Mimi kwangu kile naweza make ni my morning coffee, nothing else.Or a packet of noodle atmost when mama watoto is away,otherwise takeaway food

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

unapika kama mwanaume

hii noodle ilinishinda kabisa, afadhali spaghetti

Noodles takes 3minutes in hot water and youre done. Hapo hakuna cha stew ivyo ivyo, two packets and youre full

Kupika noodles is even easier than boiling eggs… But our skill sets are different.

Midnight snack manenoz…laleni salama and bon appetit to the ones feasting now.

Goodnight @pseudonym

Goodnight @It’s Le Scumbag . Tùonane rùciù.

Hapa najua kunA watu rangi imetolewa

nijue kupika pasta nikose kujua kupika noddles???

kati ya Parsley na Coriander, which is the bst for garnishing cc @Nananimpa

Wapi ukali apo? o_Oo_Oo_O

Hehehe…eti bay leaves ningekata kidogo. Kama sukuma, ama?

Nikuulize,sio kwa ubaya,huna bibi? Make sure when you marry ,marry someone who is better cook than you or else hautawahi furahia chakula chake kibovu. Na shida itaanzia hapo. Thank me later

Mimi, recipes natoa Kaluhi’s Kitchen, ama pikachakula.com, ama napigianga bish yangu Mswahili anielezeange.

Kaluhi Adagala.
http://www.kaluhiskitchen.com/wp-content/uploads/2015/08/Kaluhi_Kaluhi-Adagala_top-kenyan-food-blogs_top-kenyan-food-bloggers_top-african-food-blogs_kaluhi-adagala.jpg

Mmmmmh. She can gerrit.

Hehe sina bibi. Asante kwa mawaidha.

Lol…Onion Rings…Been wondering what those are on Ktalk.
Good stuff though. How much Pilau Masala seasoning did you use?