Corinthian wedding

Gendarme

Village Elder
#1
I attended this wedding last Saturday. Mpaka bride and the standers lazima wavae kitambaa. Then no honeymoon. After the wedding, the couple is escorted home and the bride makes tea for the visitors. Then you chill hapo nje taking tea as they consummate. wakimaliza wanatoka kwa nyumba and escort you mpaka kwa gate.
Hapo ndio wedding inaishia.
IMG_20170909_110440.jpg
Marching into the church. Notice the vitambaa za the standers. And the length of their dresses.
IMG_20170909_110457.jpg
IMG_20170909_152115.jpg
Notice the kitambaa kwa kichwa cha bride.
IMG_20170909_173613.jpg
 

Gendarme

Village Elder
#8
corinthian sect/cult gani wanaume hawavai sitambaya
Inaitwa Visions in Christ, ama VIC. We call them Very Important Christians
Kuna tailor alinukisha kitunguu...na mbona hukuchukua plenty of pics of those female Corinthians? Unaangusha team mafisi!!
Man, hakuna kitu ya kusafisha macho hapo. Just look at the small sample presented and tell me if any fits the visual threshold for the team. Wamejifunika taa mateetee huwes jua ni size gani.
Ala? Wanaume hawana karemba? Na wamenyoa? Hujumaaaaa!!!:D:D
Yea, sio wakorino per se.
hehe wedding ilikua Kamae ama?
Yes, you know the place?
1.The bridesmaids seem to be way older than the bride.
2.The tailor for the best man needs a firing squad...pathetic.
They are young. Shida ni hio kujifunika kila kitu. They are very beautiful if stripped to the core.
About the tailor, well, yes, he wasted some precious material. There is extra enough to cut some handkerchiefs.
 

Gendarme

Village Elder
#11
Where do you know in Kamae? na sio hii ya 44, ni mashinani.
ingekuwa hii story imesettiwa up nyanza ungeskia eti ohhh lord of poverty na hizo suit na wedding gown kombo
I cant see poverty in the pic. Well, peasantry yes, but it was a very colourful wedding.
siwes mind kula kamoja. Hiyo ya watu kukaa wakingoja you consummate the marriage ni noma. They are silently timing you.
hehehehehe, wajue kama ni 1-minute man ama? I was there and could see the smile on his face after they opened the door one hour later.
 

Gendarme

Village Elder
#20
nimewahi tumia road ya from thika to flyover nikienda naivasha. ama sio hiyo?
Thats the road. So, ni hio kamae ya hapo. A very productive area.
haiya huwa inahappen hapo rife rife?
Sio rife rife, wanaingia kwa nyumba na kufunga mlango. The visitors hua hapo nje wakikunywa chai and some idle talk. You can guess the main topic.
Hapna mzito wanakaa hapo nje, wanataka kuskia pia nduru ya bibi wajue wewe ni jogoo
Exactly. lakini sikuskia nduru yoyote.
Hapna mzito wanakaa hapo nje, wanataka kuskia pia nduru ya bibi wajue wewe ni jogoo
In kukuyu culture, lazima bride apewe bed na parents wake. it signifies ati ameenda kabisa, kwao hakuna kitanda yake tena, so she can only go to visit, not spend.
 

Top