corinthians...

kama umewai ona mukurino kwa swimo kuja nkulipe:p:p:p:p:p:p:p:p:p

Leo nimeenda tao,nkadonate damu alafu naambiwa ati soda na mkate zimeisha…sai niko kwa mat naenda home na damu yangu kwa chupa…heri nichukulie mosquitoes take away…

:D:D:D:D:D:D

Nliona mmoja amewelea njuala ya nakumatt juu ya turban na akaingia shallow end

hehehehehehehee:D:D:D:D:D:D:D

[ATTACH=full]129101[/ATTACH]

:D:D:D:D:D:D:eek::eek::eek::eek:…huyo lazima ni @Thagichu

He he he!