Corona patient

Kuna talker ameshikwa na hii ugonjwa? Leta hekaya

@HAKI YANGU

Nilipona, shida sijui kama ni corona, headeach body aches na stomach pains, sore throat, the only thing sikuwa nayo ni fever.

[ATTACH=full]294999[/ATTACH]