Guys leo nimeamua kufika hapa Old mutual for some business and the office is full of corporate chiles in high heels walking around without wedding rings…not even one and they are all fwyn.
What gives? Requirement kwani ni lazima mschana akuwe kitu ndio apate works base kama hii…correct that kuna mwenye nimeona ako na pete.
Anyway kuna kamoja naona kanaletewa tu lunch kwa corner office na kana slay kuslay kwa ofis in heels. Nimekaa hapa kwa bench nikingoja services na nimeboeka kiasi juu ya njaa pia. Na sitawaongelesha kizungu mie!
Nani ako around tukule lunch!?
Phylgee
December 4, 2017, 10:38am
2
seriously??? umeboeka kweli…
Gio:
Mbicha?
Haha nitajichomea picha bana. Lazima wajue i am a busy person
[ATTACH=full]142846[/ATTACH]
Grundy
December 4, 2017, 10:41am
7
Guys leo nimeamua kufika hapa Old mutual for some business and the office is full of corporate chiles in high heels walking around without wedding rings…not even one and they are all fwyn.
What gives? Requirement kwani ni lazima mschana akuwe kitu ndio apate works base kama hii…correct that kuna mwenye nimeona ako na pete.
Anyway kuna kamoja naona kanaletewa tu lunch kwa corner office na kana slay kuslay kwa ofis in heels. Nimekaa hapa kwa bench nikingoja services na nimeboeka kiasi juu ya njaa pia. Na sitawaongelesha kizungu mie!
Nani ako around tukule lunch!?
Sasa badala ya hizi hekaya zote ungekuwa ushachukua number from one of them.
Phylgee
December 4, 2017, 10:45am
8
sioni vile njaa na hekaya inarelate na maSQ…
Guys leo nimeamua kufika hapa Old mutual for some business and the office is full of corporate chiles in high heels walking around without wedding rings…not even one and they are all fwyn.
What gives? Requirement kwani ni lazima mschana akuwe kitu ndio apate works base kama hii…correct that kuna mwenye nimeona ako na pete.
Anyway kuna kamoja naona kanaletewa tu lunch kwa corner office na kana slay kuslay kwa ofis in heels. Nimekaa hapa kwa bench nikingoja services na nimeboeka kiasi juu ya njaa pia. Na sitawaongelesha kizungu mie!
Nani ako around tukule lunch!?
Wapi efidens? Au hii ni rumours?
Naenda top management…nitachukua number huko
Mankind
December 4, 2017, 10:50am
11
MZITTO Weka ata Kama ni audio tuskie wakiongea osungu.
Otherwise uko apo bus station ukisample nyamchom kwa vibanda tofauti alafu mwishowe uitishe matumbo ugali.
Grundy
December 4, 2017, 10:52am
12
Top management ni over 28 and are over the hill like Nyakundi said. Remember what mhenga @Ice_Cube said, he who hesitates masturbates
culture
December 4, 2017, 10:54am
14
Guys leo nimeamua kufika hapa Old mutual for some business and the office is full of corporate chiles in high heels walking around without wedding rings…not even one and they are all fwyn.
What gives? Requirement kwani ni lazima mschana akuwe kitu ndio apate works base kama hii…correct that kuna mwenye nimeona ako na pete.
Anyway kuna kamoja naona kanaletewa tu lunch kwa corner office na kana slay kuslay kwa ofis in heels. Nimekaa hapa kwa bench nikingoja services na nimeboeka kiasi juu ya njaa pia. Na sitawaongelesha kizungu mie!
Nani ako around tukule lunch!?
on your way out nishtue.am on your left hand side offices:D:D
Waah how people bomoa these coprorate chillez lazima wakuwe na bunduz sana.
Lakini pia watu wa uber wako na chocha sana mseh badala ya kusema amepotea ako hapo anaspin gari kama ugali nairobi mzima
piga hata picha ya tissue paper utuwekeee banaaaa