Corruption day

uwesmake

DRYFRY ARTIST
#1
Swali tu

Kesi ya ule bilionea wa bluemoon wa kuevade tax mpaka Kinoti Ali raid kampuni yake ilendaje ? Bado kampuni yake imefungwa ?

Kesi ya KRA staff thieves ?

Kesi ya Assa Nyakundi , why is it revolving among five judges yet it's clear aliuwa his son ?

Kesi ya Savula aki defraud ministry of information iliendaje ?

Kesi ya kimilili mp ya corruption?

Kesi ya alfred Keter ile ya fake bonds ?


Kesi ya Obado ?

Kesi ya Ytitu ?

Kesi ya Ojaamong

Kesi za kidero ?

Kesi ya anyang nyong'o akiibia inheritance ya nephews ?

Kesi ya Ojienda ?

Kesi ya Kuria HATE speech

Kesi ya Tunoi , yaani alipewa 200 milion na anaenda hivo

Kesi ya wetangula ya embassy land

Kesi ya Kalonzo ya kuiba shamba

Kesi ya jaguar kuuwa mtu akiwa na gari

Kamwaror dams ?

Goldenberg, Anglo leasing, afya house scam ,

Why is the Energy minister still in office with all the scandals mpaka saa hii ya kplc?

Patni , somaia , devani, wako wapi

Trinitron iliendaje

Imperial bank thieves ?

Pastor nganga kuuwa mujama

Solai dam deaths ?

Kesi ya Zile nyumba zimeanguka zikiuwa watu Nairobi?

List ya akashas kwani DOJ imeogopaNimechoka banaaa ongezeni .

Chief Ghassia Maraga afungue website we get day to day progress of all above 1 million corruption cases then a resign
 

oboho

Village Elder
#11
All those cases ni za Wenye nchi, they ain't going nowhere. No corruption is being fought at all. Tunakuliwa ***ndi(Jubilee development).
 

MBOMB

Village Sponsor
#17
Sylvia Mulinge pia ana kesi ya kujibu...
Ongeza ile scandal ya Beyond zero Caontainers
Fraud pale Ministry of Health
NYS1 and NYS2
Ruaraka Land ya ile Francis Mburu ..................and many more
 

Top