Could You Guys Post Up Your Speedtest Results?

I’m working on a TV streaming site, na nataka kujua average speeds zetu.

I know naweza enda netindex report ya kenya, but the numbers are biased in this specific case.

Enda tu hapa --------> http://www.speedtest.net , alafu screenshot/snip results mara that.

Wako na apps za Android ( https://play.google.com/store/apps/details?id=org.zwanoo.android.speedtest ), Windowsphone ( http://www.windowsphone.com/en-us/store/app/speedtest-net/4fcd4de1-050b-44dc-b123-a786808eb49b ) na iPhone( https://itunes.apple.com/us/app/speedtest.net-mobile-speed/id300704847?mt=8 ) ka mnadai.

If possible, weka screenshots za speeds za workplace, home, mobile na school (if applicable).

Azandizana.

1 Like

Ndio hio

Impressive.
Mobile data, ama WiFi ya home/work?

Hukupeana feedback kwa post yako ya pili ya jana mboss.

Nisambazie bundles niweke yangu hapa

sitaki kufloss…but sa venye 4g ya safcon ni official mtaa, wenye mna 4g/LTE enabled paraphernalias hapo mtaa hizo speeds zina clock 100mbps an over?

Nope

So far hamtaki kusaidia chamaa

20mbps

ok inaclock ngapi?

Gani hiyo tena?

Kenye nakumbuka the last time nikicheck, LTE ya safcom ilikuwa kwa buildings zao tu. Saa hii eti wako Ngong Rd na JKIA???
http://www.safaricom.co.ke/personal/internet/safaricom-4g-lte

just to be considerate to those who probably use 50 bob per day unlimited ya orange, have an option for regular stream rendering about 240p and another for those with high speed connectivity rendering HD content…hapo sawa?

The whole of Nairobi is on 4G. But with pathetic speeds, not as advertised

Hapo sawa.

For me, afadhali nitumie WiFi stable ya 2, 3 ama 5 MBps kuliko 4G unstable.

Office…

Azandi.
Where do you usually stream TV from, btw?

Hii
www.kenyatalk.com/index.php?threads/watch-your-tv-stations-online.4963/#post-64931

We ni sonko, maze. Huwezi kosa bandili.