Wueh, kumeanza kuwa kubaya. Pale country bus watu wameblock Barabara, and lit bonfires. No bus leaving Nairobi. Hivyo ndio wanadai.
Mbisha sina. Staki infinix yangu iibiwe
Wueh, kumeanza kuwa kubaya. Pale country bus watu wameblock Barabara, and lit bonfires. No bus leaving Nairobi. Hivyo ndio wanadai.
Mbisha sina. Staki infinix yangu iibiwe
Shida yao ni gani?
CORDIOTS or JUBULEEDIOTS ?
Hiyo time ya maswali sikuwa nayo baba. Pale hapakai vizuri. Umati yote ya Eastland’s imetembea kutoka stadium.
huyu DJ in Bure kabisa…[ATTACH=full]127308[/ATTACH]
me si reporter!
@Meria Mata kazi kwako
Shida ni nini?
Pole Dj. That was a wise thing to do.
Ukumbuke kutuwekea mixx poa ya Friday ukifika.
What bullshit is this?
We are getting more stupid every passing day.
Demos around Machakos country bus!! avoid that area
CCTVs capturing every moment
[ATTACH=full]127309[/ATTACH]
[ATTACH=full]127310[/ATTACH]
Why
Huyu dereva wa rorri ni meffi sana. Nineona hii headline hapo MMNN nikajua baaas! Rapture imeanza!
[ATTACH=full]127311[/ATTACH]
Comprehensive report ikuje, ikishatoka
mashetwani ya auto correct hehehehe
hun…
naskia ni hawkers tu,
[ATTACH=full]127312[/ATTACH]
What are their grievances, why’s no one answering that?