Courtesy on the road

I have come to notice that people with bigger and expensive cars are the most respectful and courteous on the road. Today Allion haikuwa so its a free day. Nikaamua wacha niende NTSA kuchukulia ule boyz ako majuu logbook yake. NTSA from town is a 20 minutes walk (only slay queens like @Panyaste and @digi can use a matatu to be taken to such a short distance). As I was on Uhuru Highway round about there was a pedestrian crossing and we were many of us. There was a White Mercedes benz AMG coming. The guy stopped miles away from the pedestrian crossing and ensured kila mtu amepita kabisa ndo sasa akapita. When returning I used that route that passes through Uhuru park and gets you to a roundabout near Immigration house. The round about I used first was that used by Rongai and Ngong matatus where they join Mombasa road. Even before the traffic lights signalled for us to cross some nigga in a black Lexus LX570 already stopped and gave us way to cross very respectable.

and then there are these cunts in demios and vitz. these fuckers can even kill you on the road and go away. they have no respect and courtesy at all. they can run you down and be unapaologetic about it. its a pedestrian crossing but they will never give you way whatsover. they suffer from massive ego issues. their egos have been overly bruised that the only way they can cure their ego issues is by lacking courtesy. infact courtesy to them is a foreign word or a favour they are doing to you. hawa ni wale kwa jam hawawezi kukupa nafasi kabisa. they see you as looking down upon them because they have small cars. there’s one who was driving a vitz and i was coming from thika wanting to exit to allsops. i had used the express lane from thika after making a delivery nikateremka chini ya garden city sasa kufika huko mahali natives ilikuwa nikataka kuchange lane ni exit niende hiyo njia ya allsops. fucking nigga couldn’t give me space. na saa hiyo ni jam. jamaa alishinda anafunga bara bara. space kidogo tu ivi ashaifunga kidogo hata agonge mtu wa mbele. i rolled down my left window to tell him nataka kuexit nigga closed his right window in a huff na saa hiyo nimeeka indicator. i had to literary wait for him to go ndo niexit. fuckin cunt!!

mimi kwa pedesterian crossing motorists siwawachiangi nafasi…[SIZE=1]well except ma3s ofcourse…i choose my battles wisely…[/SIZE][SIZE=4]and nikipata a driver harrasing peestrians kwa zebra crossing they better pray kusikuwe na jam juu mi humgongea drisha namwambia aende brain transplant juu akili yake imekufa[/SIZE]

just a way of making it up for their small vehicles…Si we unajua venye mido class kenya huringa kuliko the rich

Mimi nikiwa na Ile lorry yangu mguu kumi ya FAW huwa naachia raia wavuke hata kabla nifikie Kwa zebra crossing. Lakini ukweli hawa watu wa Vitz na demio wako na ujinga mingi saaaana!

P

Pole vaite kwa hayo.Naona you are catching up well baada ya kuanza kujitafutia.

Sasa inakaa hujapatana na wazimu anakuflashia lights na anaona vizuri kuna jam ahead.
Haujakuwa kwa traffic light mkingojea green light then ikifiika tu hivi ata sekunde haijaisha kuna mnigga huuuukooo nyuma,gari kama tano nyuma, ashapiga honiiii kwa hasira,Sijui shida ya watu kama hao huwa ni nini.
Hujapatana na ile group pia ya kukaa kwa acceleration lane ako na Mark X,au gari kubwa but anaenda pole pole,zaidi ya hayo mwingine anamfikia wanaanza kwenda at the same pace,sasa hapo wanafunga lane mbili.
Na kuna wale wa kuweka indicator kama ameingia na mko highway,inabidi ume screech ku avoid rear ending.

Sasa juu ya hiyo ku hootiwa na wasee nimezoea kuwaonyesha kidole cha kati.Leo nimeonyesha mtu alikuwa na Cayenne pale Muthaiga Total petrol station.Sote tunaenda Thika rd so napea njia magari zinatoka Thika rd zikienda Gigiri right of way ,kijamaaa ni kuhoot tu.Nikateremsha dirisha kama kawaida nikaonyesha yeye middle finger nayo njia ikafunguka tukaendelea na safari.Kufika Gertrude jamaa bado ako nyuma yangu na hakuna oncoming vehicles,si apite ,hapiti…Sasa nikaona wacha nimuonyeshe mimi ni mzito,nika signal kuingia Muthaiga,kijamaa kika signal pia.Nika speed hadi karibu niharibu outback na kuipigisha bump sikuwa nimeona.Wasee jamaa amenifuata hadi Kiambu lakini i wasnt heeading therevile nimeingia njia ya Kanunga hapo ndio tumewachania.
Wadau nifanye nini hiyo tabia iishe

Hiyo jamaa haina kitu kama hiyo…ni peasant tu ya kawaida