• Happy New Year, and Wishing You A Productive 2021

Covering a brother's back

Ken_Sarro

Village Elder
#1
In my circle of friends I have like five friends who I call true friends. Friends who my girlfriend once told me to stop hanging with since they were bad company who influenced me into binge drinking and womanizing. The type of girlfriend who is like @GeorginaMakena in this village, Extra-wordy lectures with very little substance to write home. On this day I just listened to her for a good one hour as she lectured herself to hoarseness on how I should avoid bad company as it was bad for our relationship. When she was done I asked her to provide me with friends she felt were good company and they should be able to fill the role played by my friends e.g. provision of soft loans whenever I was in need of cash on an emergency basis as well as providing me with job prospects since we were all worked in the same industry. Msichana wa watu alinyamaza and the lecture died a natural death due to lack of logic kama theory za @Guru na kupika.
Now back to the original script, my friends circle is made up of two dim eyes, one shinny eye, a kalenjin and a Kao. We have been good friends for a very long time. So one Friday after deal kuingiana around midmonth tuko na pesa kama drug peddlers since midmonth most people in formal employment are often broke anticipating endmonth. My kao friend was not feeling well aka amua hadundi due to medications and alcohol effect. My shinny eye friend on the other hand had an urgent issue to attend to back home and had to travel early so hakutokea. Mkale had travelled to Baringo to see a sick parent. So the three of us tukaingia town 8PM. Machupa kwanza in a local bar hadi zikashika then tuka amua kuingia club. After kuingia hivi club, I saw a familiar face. When our eyes interlocked, familiar face smiled and waved at me. Saa hio najiuliza niliona hii sura wapi? Kiasi hivi it hit me! It was my shinny eyed friend’s wife. She was in the company of two other ladies and three males drinking caprice then. Nika shtuka but nika inform kikosi kile nimeona. One of the dim eyed let call him Otis aka piga jamaa simu na ku uliza ye mama watoto ako wapi. Aka ambiwa ati mama watoto ame travel to Ol-Kalou to buy commodities. Jamaa akamu uliza uko sure? Akasema cork sure, then got curious. Basically kikosi concluded that after drinks bibi ya mtu anafungwa. Jamaa akamwambia kama uko home, tulia tunakuletea gacungwa (Brownskin) ukule usiku mzima. Mjinga akachangamka coz Oti never disappoints. Hapo kikundi ika amua brathe hakuliwi bibi tukiangalia helplessly, heri itushinde.
Kiasi Oti aka amka na kwenda kwa table yake na kumwambia blatantly, “Toka uende home”. Dem aka anza zile za “oooh, ngoja nimalize kwanza drink yangu”, Oti ako zile za hakuna kitu una maliza. Saa hio combination ya Singleton na Gilbeys ina run akili na pesa mfuko ina ambia Oti your very right. Dem aka anza kum ignore sasa, Wrong move! Oti akachukua glass ya dem akamwaga chini na kumwambia tunaenda!!. Bouncer wakaitwa mbio. Sisi kuona hivyo pia tukafika table kama Recce ready ku deal na terrorist, kama ni friendly fire itambe basi. Bouncer ku uliza iko nini aka explainiwa then alikuwa mjaka pia. Akajaribu kumexplainia Oti zile za ya wawili usi ingilie blah blah. Oti kwa akili yake saa hio ako zile za “Chieth Onger” na ashamake resolution and he threatened to overturn the table dem asipo amka. One of the other gentlemen kwa table ya akina dem alijaribu kuzua my other dim eye Sam akampa kumanyoko slap mpaka chini. Aka amka kama ametulia kama monoballer after kujua bibi anaeza mcheza asipo oa. Bouncers waka anza kumvuta Oti atoke nje, si pia tukaform kitu kama a rugby maul. Wanatusukuma tutoke sisi nasi tunasukuma Oti abaki ndani. Oti naye amekatalia dem nguo ana shout “nikitoka natoka na huyu aende nyumbani!”. The scenario was more of a see-saw. Oti anasukumwa nje, sisi tunaresisit kabisa. Ilibidi bouncers waongezwe tukatolewa sote watatu nje but na dem.
Kufika nje dem aka anza matusi, Oti akamwambia “we tusi tu, matusi haijawai toa mtu damu”. Cab ikaitwa tukaweka bibi ya mtu ndani hadi kwake. Kugongea jamaa gate anatoka nje na mafuraha expecting a yellow yellow kufikisha threshold. Kutoka nje anapata ni wife yake, kwanza butwaa, hasira then kucheka. Dem akajishikisha nare ati tume muabisha infront of her friends, akaingia mbio na kutoka na panga. Hapo kila mtu akashika njia yake tuka wawacha wawili wasort shida zao.
IT’S A LONG STORY BUT NAKUJA KUMALIZA VILE ILI ISHA AND WHY YOU SHOULD NEVER SET ALLOW CERTAIN PRECEDENCIES IN YOUR HOUSE AS A BLUE HANDLE
Kwa wale hamjui Maul picha ndo hio

maul.jpg
 
Last edited:

conoiseur

Village Elder
#4
In my circle of friends I have like five friends who I call true friends. Friends who my girlfriend once told me to stop hanging with since they were bad company who influenced me into binge drinking and womanizing. The type of girlfriend who is like @GeorginaMakena in this village, Extra-wordy lectures with very little substance to write home. On this day I just listened to her for a good one hour as she lectured herself to hoarseness on how I should avoid bad company as it was bad for our relationship. When she was done I asked her to provide me with friends she felt were good company and they should be able to fill the role played by my friends e.g. provision of soft loans whenever I was in need of cash on an emergency basis as well as providing me with job prospects since we were all worked in the same industry. Msichana wa watu alinyamaza and the lecture died a natural death due to lack of logic kama theory za @Guru na kupika.
Now back to the original script, my friends circle is made up of two dim eyes, one shinny eye, a kalenjin and me a Kao. We have been good friends for a very long time. So one Friday after deal kuingiana around midmonth tuko na pesa kama drug peddlers since midmonth most people in formal employment are often broke anticipating endmonth. My kao friend was not feeling well aka amua hadundi due to medications and alcohol effect. My shinny eye friend on the other hand had an urgent issue to attend to back home and had to travel early so hakutokea. Mkale had travelled to Baringo to see a sick parent. So the three of us tukaingia town 8PM. Machupa kwanza in a local bar hadi zikashika then tuka amua kuingia club. After kuingia hivi club, I saw a familiar face. When our eyes interlocked, familiar face smiled and waved at me. Saa hio najiuliza niliona hii sura wapi? Kiasi hivi it hit me! It was my shinny eyed friend’s wife. She was in the company of two other ladies and three males drinking caprice then. Nika shtuka but nika inform kikosi kile nimeona. One of the dim eyed let call him Otis aka piga jamaa simu na ku uliza ye mama watoto ako wapi. Aka ambiwa ati mama watoto ame travel to Ol-Kalou to buy commodities. Jamaa akamu uliza uko sure? Akasema cork sure, then got curious. Basically kikosi concluded that after drinks bibi ya mtu anafungwa. Jamaa akamwambia kama uko home, tulia tunakuletea gacungwa (Brownskin) ukule usiku mzima. Mjinga akachangamka coz Oti never disappoints. Hapo kikundi ika amua brathe hakuliwi bibi tukiangalia helplessly, heri itushinde.

View attachment 137738
Uwiiii ati yellow yellow brownskin :D:D:D:D:D
 
#5

This is very long, surely how do expect people to read this? Irony is saying am wordy without any substance then you bring your girlfriend issues here with no summary just some very loooong boooring winding poorly constructed sentence. Kijana before you come to talk about how my loong posts have no substance ,please check how many people read my i, how many follow me, vitu kama hizo and compare wit yourself. Unajua people who are going nowea and are failures like your gf has duly noted kazi yao is just to sling mud at other people. But they themselves are doing nothing. I say am in Karen , theyre like how? I say am driving a Benz ,wacha propaganda. I say am starting my PhD and plan on running for office in 2022, but what is it that YOU who is telling me its impossible doing with your own life, I hate that small man mentality thats in failures, kwani watu hufanya PhD wako na vichwa mbili we ukiwa na moja, if you have decided all you're capable of doing with your life is womanising and drinking, please leave those of us who have a vision and are going somewea alone sawa?

As for the little Ive read about your gf, the only mistake she has is being a spirited and focused woman who fell in love with a loser now she thinks nagging you will convert you into a real man instead of a boy with a beard. Pole kwake, after she wastes her time maybe it'll come to her better be a 5th wife of a focused man than a gf/only wife of a man with no focus,no direction and ambition in life. If you're focused huwezi pata time for all this garbage . Its obvious you are loser ,poor woman is prolly dickimanised. Anyway, she'll soon be back to her senses that a useless man is just that useless. And that the only man you can change is the one in diapers.
 
Marty McFly

Village Elder
#8

Meffi can you die
 
Ken_Sarro

Village Elder
#9

kwanza alikuwa nkirote wenu, Nlichuja mbio sana. hapana letea me standards and principles zenye "Reach" husbands wanaletewa
 
Murithi

Village Elder
#13
In my circle of friends I have like five friends who I call true friends. Friends who my girlfriend once told me to stop hanging with since they were bad company who influenced me into binge drinking and womanizing. The type of girlfriend who is like @GeorginaMakena in this village, Extra-wordy lectures with very little substance to write home. On this day I just listened to her for a good one hour as she lectured herself to hoarseness on how I should avoid bad company as it was bad for our relationship. When she was done I asked her to provide me with friends she felt were good company and they should be able to fill the role played by my friends e.g. provision of soft loans whenever I was in need of cash on an emergency basis as well as providing me with job prospects since we were all worked in the same industry. Msichana wa watu alinyamaza and the lecture died a natural death due to lack of logic kama theory za @Guru na kupika.
Now back to the original script, my friends circle is made up of two dim eyes, one shinny eye, a kalenjin and me a Kao. We have been good friends for a very long time. So one Friday after deal kuingiana around midmonth tuko na pesa kama drug peddlers since midmonth most people in formal employment are often broke anticipating endmonth. My kao friend was not feeling well aka amua hadundi due to medications and alcohol effect. My shinny eye friend on the other hand had an urgent issue to attend to back home and had to travel early so hakutokea. Mkale had travelled to Baringo to see a sick parent. So the three of us tukaingia town 8PM. Machupa kwanza in a local bar hadi zikashika then tuka amua kuingia club. After kuingia hivi club, I saw a familiar face. When our eyes interlocked, familiar face smiled and waved at me. Saa hio najiuliza niliona hii sura wapi? Kiasi hivi it hit me! It was my shinny eyed friend’s wife. She was in the company of two other ladies and three males drinking caprice then. Nika shtuka but nika inform kikosi kile nimeona. One of the dim eyed let call him Otis aka piga jamaa simu na ku uliza ye mama watoto ako wapi. Aka ambiwa ati mama watoto ame travel to Ol-Kalou to buy commodities. Jamaa akamu uliza uko sure? Akasema cork sure, then got curious. Basically kikosi concluded that after drinks bibi ya mtu anafungwa. Jamaa akamwambia kama uko home, tulia tunakuletea gacungwa (Brownskin) ukule usiku mzima. Mjinga akachangamka coz Oti never disappoints. Hapo kikundi ika amua brathe hakuliwi bibi tukiangalia helplessly, heri itushinde.
Kiasi Oti aka amka na kwenda kwa table yake na kumwambia blatantly, “Toka uende home”. Dem aka anza zile za “oooh, ngoja nimalize kwanza drink yangu”, Oti ako zile za hakuna kitu una maliza. Saa hio combination ya Singleton na Gilbeys ina run akili na pesa mfuko ina ambia Oti your very right. Dem aka anza kum ignore sasa, Wrong move! Oti akachukua glass ya dem akamwaga chini na kumwambia tunaenda!!. Bouncer wakaitwa mbio. Sisi kuona hivyo pia tukafika table kama Recce ready ku deal na terrorist, kama ni friendly fire itambe basi. Bouncer ku uliza iko nini aka explainiwa then alikuwa mjaka pia. Akajaribu kumexplainia Oti zile za ya wawili usi ingilie blah blah. Oti kwa akili yake saa hio ako zile za “Chieth Onger” na ashamake resolution and he threatened to overturn the table dem asipo amka. One of the other gentlemen kwa table ya akina dem alijaribu kuzua my other dim eye Sam akampa kumanyoko slap mpaka chini. Aka amka kama ametulia kama monoballer after kujua bibi anaeza mcheza asipo oa. Bouncers waka anza kumvuta Oti atoke nje, si pia tukaform kitu kama a rugby maul. Wanatusukuma tutoke sisi nasi tunasukuma Oti abaki ndani. Oti naye amekatalia dem nguo ana shout “nikitoka natoka na huyu aende nyumbani!”. The scenario was more of a see-saw. Oti anasukumwa nje, sisi tunaresisit kabisa. Ilibidi bouncers waongezwe tukatolewa sote watatu nje but na dem.
Kufika nje dem aka anza matusi, Oti akamwambia “we tusi tu, matusi haijawai toa mtu damu”. Cab ikaitwa tukaweka bibi ya mtu ndani hadi kwake. Kugongea jamaa gate anatoka nje na mafuraha expecting a yellow yellow kufikisha threshold. Kutoka nje anapata ni wife yake, kwanza butwaa, hasira then kucheka. Dem akajishikisha nare ati tume muabisha infront of her friends, akaingia mbio na kutoka na panga. Hapo kila mtu akashika njia yake tuka wawacha wawili wasort shida zao.
IT’S A LONG STORY BUT NAKUJA KUMALIZA VILE ILI ISHA AND WHY YOU SHOULD NEVER SET ALLOW CERTAIN PRECEDENCIES IN YOUR HOUSE AS A BLUE HANDLE
Kwa wale hamjui Maul picha ndo hio

View attachment 137738
bro code salute. be your brothers keeper. safi sana mzito
 
Jimit

Village Sponsor
#19
call me a dim eye if you wish, but a squad without one or two dim eyes aint a squad, then wenye wanamwita huyu mjamaa Jirani, this can never be him. Jirani can persevere a week with the devil, but can never persevere a sentence without one or two abuses aimed at shiny eyes. Ken hekaya iko swafee kabisaa
 
Baba Toto

Village Elder
#20
You can never make someone else faithful or loyal, especially kunguru.
Jamaa alioa public transport, wacha itumiwe na raia.
She will cheat another day but this time, be more discreet.
 
Top