CPA marketing

#1
Hakuna vile utakafunga na free traffic on CPA. Nataka kujaribu paid traffic na sijui ni gani convenient. Kati ya bing ads, google ads na facebook ads ni gani effective. Budget ni ya 10K .
 
Top