[ul]
[li]Cristiano Ronaldo will earn £500,000-a-week at Juventus after signing a four-year contract.[/li][/ul]
Kweli mwenye nacho huongezewa, hebu tukokote ni Tshs ngapi kwa mapene ya TZ.
1 Pound = 3,000 Approx
Pound 500,000 = 1,500,000,000 Tshs kwa Wiki yaani 1.5 billion kwa wiki
Mshahara wake kwa mwezi = 1.5billion x 4 = 6 billion
Kwa mwaka = 6 b x 12 = 72billion.
Mwenye nacho kaka…