Craiglist

Kuna ndege fulani niliwinda Craiglist. Nikakamua weekend yotee…sasa inanishow eti inataka kubaki kwa nyumba yangu kama wife…

Wewe unaweza oa kitu ya CL?

Leteni zote hata hizo KUMBWA!

ulimlipa how much bro…asking for a friend:)

Brathe, hii haikuwa kwa "Casual Encounters."Ilikuwa kwa “” LTR Wanted.

LTR ni nini ?

LTR stands for what?

Magwiji wa Craiglist wanaelewa

heheheehehehe…

lazima ni singo matha huyo

Huyo ni kunguru alijipa hivihivi. Sasa juu hakutaka uone yeye ni malaya akaweka kwa LTR badala ya casual encounters. I’m not even surprised, she is looking for an LTR lakini kumbe anataka kukamuliwa

So tuseme hapa nimeangukia ama?

LTR = Long term relationship.
na wewe OP, utafagiliwa nyumba na ukuniwe kwa nyumba ndio utalijua jiji.

ahsande , wacha niingie hio LTR arena .

:D:D:D:D:D:D:D

Kuangukia slices ndio, Chukua ukiendanga, huyo ana masquerade kama khupipi lakini ni kunguru tu. Usiwachie kunguru nyumba, itafagiliwa

Bado ikuambie twende tukapime!

tuna tambua tu HKMBL

Hizi comments zote bila mbisha. Standards are going down!
We need to be sure si wewe ulikamuliwa. Bila effidens u just have a fertile imagination

And then you ask, if you are single kamua kitu unaweza weka kwa nyumba kama bibi.

Ebrufication…??

Maliar wa Craigslist ni expensive sana. Never paying over 1K for coomer. Kuna moja ya Kamakis bypass that was asking for 2K ati full package. Massage na shot moja ukiwa na condom. Sigwesi!!!