Crasher 18 Nimekuona

[ATTACH=full]215176[/ATTACH]

@KSPCA

@crasher_18 njoo ujitetee

Si hii ng’ombe ingeweka tu hii kambuzi kwa boot ya gari? Ujinga ni mbaya kuliko uchawi!

What??? Ikojolee Louis Vuitton suitcase na Birkin bag ya mama ([SIZE=1]sitaki kusema slayqueen[/SIZE])?

Upendo kwa wanyama jamani… may goat gods make him choke on a bone,…

Another rant from a middo-classer?!

Mzee gashwin mtu huwa anatandaza gunia mbili za sisal kwa boot and then unawekelea mbuzi juu zikiwa ndani ya gunia. Mkojo yao haiwezi fikia carpet ya gari. Mimi huwa nabeba hata mbuzi nne kubwa from Baringo to Nyeri ndani ya Fiunda yangu style hiyo.

na way angerudisha VX ya mdosi kaa inanuka mbuzi

Mashida ya kuomba gari za watu!

Shid hata sio mkojo kama hizo fur/ hair, viroboto na harufu ya hawa mbuzi it lingers for days.

Mbuzi unaingiza ndani ya gunia. Ukifika destination unapeleka gari car wash immediately.

The plates are Tz. This wasn’t in Kenya Meria.

shhhhhh
:cool::cool::cool::cool::cool:

@admin ameomba lift

jamaa alimwaga unga
[ATTACH=full]215189[/ATTACH]

Mutheu ndie anaspin

Watu ni wanyama kweli…

Nicely done rural road…haikai ya washina

Vile @Kimakia amesema pale juu…huyu jama ana unyama kweli…hata kama gari sio lake

That word aidha sijawahi ielewa