Crazy Nairobi! :-(

Hii mtaa sasa itakalika aje. Maisha imekuwa ghali mno! Ukiwa na elfu moja ata haikai sana!

Everything has become too expensive bana! Women have it easy…anaweza tu amua akuwe a good house wife and a good mother akae tu nyumbani trying out different businesses! Kama georginamakena!

Anywho… @DeliciousShiko alipotelea wapi?

Chagua baba awe rais unga ishuke hadi 40 bob, na kila end month unapata mshahara kwa account yako kutoka kwa serikali…hakuna kuenda job…

Like i said before nairobi is a cess pool of shit, Kuja mashinani kwa macounty where the money is

Kufuel bicycle? Kukaa sana ni relative.

Alafu aki siku hizi first thing kuweka kwa mfuko before utoke kejani asubuhi ni kale kabag ka wollen disposable ndio upate mahali pa kuweka stuff ukirudi home…

Inakaa siku mbili bana…ukiwa na slay qween ata usifikirie chochote kama huna atleast 2k!

[ATTACH=full]129030[/ATTACH]

Anyway…yollo!

You should have tagged me on this thread…sio watu wanajiweza!

It feel like January walai.it will take at least an year for the country to recover economically.

Si tunajua uko tu. Wewe ni okoa jahazi

I tell you…and january is still coming

Vote for Economic Stability,
Vote for Peace, tranquility and Predictably.
Vote for UHURUTO!
Voting any other way will only make things worse.
Kubomoa is always easier than kujenga.

its bad, those in employment are better now, and to imagine we are headed for the worst economically - if uhuruto wins baba will dig in for another 5 year fight, if baba wins one gets the feeling parliament will not make his tenure easy.
Uncertainty is bad for business, its getting to a point where even the international ngo’s and donors are cutting project funding.

kujenga, like the 9 stadiums…

maisha imepanda vibaya for real…thao nikaa soo

Hata wewe unaweza olewa ukae nyumbani :smiley:

Niliona pale TRM wametoa signage ya Nakumatt, Carrefour inaingia next month

Like if they have not been in power. Ata ungesema we vote Ekuru ama Nyaga

Siasa mbaya, maisha mbaya. Anyway nauza mandizi mbichi hapa Kibuye

RWNBP