CRB

isidore

Senior Villager
#1
Niko na deni ya 8890 ya M-Shwari sasa siku hizi tudame twa CBA tunashindaga kunipigia na jana kengine kamenicall kakasema wananipeleka CRB next week nisipolipa mimi nikakauliza wakinipeleka nani atawalipa hiyo pesa nikiamua sitawahi kopa pesa tena kwa bank na nikae ngumu na wakenya wengine 20k pia wakatae na deni itakuaje?? kakacheka kakaniambia nilipe hata kama ni mia tano wasongeshe na mwezi... sasa nimelipa 400 nangoja vile watanipigia kesho waniambie na mimi pia niliskia sauti ni tamu sijui kutaendaje....!!!
hapa mnaona nifanye aje??

NB: Matusi will be met with matusi
 

culture

Village Elder
#5
kwani unafanya huko brathe unikwamue? hii pesa hata nilikopa nikanunulia momo flani jameson na ikaninyima... naskiaga uchungu kulipa
they cannot harm you in any way but ukiwekwa huko ndio utajua ulifanya blanda kutolipa.but unaweza kwara na uamue vile umesema never ever kopa pesa.
 

Top