CRB

conoiseur

Village Elder
#24
Niko na deni ya 8890 ya M-Shwari sasa siku hizi tudame twa CBA tunashindaga kunipigia na jana kengine kamenicall kakasema wananipeleka CRB next week nisipolipa mimi nikakauliza wakinipeleka nani atawalipa hiyo pesa nikiamua sitawahi kopa pesa tena kwa bank na nikae ngumu na wakenya wengine 20k pia wakatae na deni itakuaje?? kakacheka kakaniambia nilipe hata kama ni mia tano wasongeshe na mwezi... sasa nimelipa 400 nangoja vile watanipigia kesho waniambie na mimi pia niliskia sauti ni tamu sijui kutaendaje....!!!
hapa mnaona nifanye aje??

NB: Matusi will be met with matusi
Lipa deni boss. The fact remains that if you default that loan, you're listed at the CRB afterwhich your credit worthiness decreases. Your ability to qualify for credit from lenders in the future will be hard.
 
Top