Credible stock broker

Status
Not open for further replies.

Joe Snr

Village Elder
#1
Hello Ktalk ladies and gentlemen..which credible stock brokerage firm is in Thika town,especially the one that has online trading option?
thanks!
 
Ice_Cube

Village Chief
#3
Enda Faida Investment Bank branch iko Thika Arcade behind Shell petrol station or something,they also have a stock brokerage Arm
 
#7
I love coming to Thika to ride shida ni maringo iko huko...ati its illegal to push the bike inside blue post hotel...smh.

Anyway sijui any company huko ya shares. Which shares do you plan on buying so urgently if I may ask?
 
Joe Snr

Village Elder
#8

The old man has been buying stocks since 1995 to 2007 therefore only has share certificates..he has not immobilised them,therefore cannot trade.
 
Mkufuu

Village Elder
#9
Sijui kama SGB securities wako thika lakini wako hapa Nairobi katika Cardinal Otunga Plaza. Watakueleza jinsi ya kufungua CDS account ambayo itakuwezesha kununua hisa katika soko la Nairobi. Ukisha fungua account ya CDS nakushauri ufungue account nyingine katika benki la CFC stanbic ambayo unaweza ambatanisha na CDS account yako. Baada ya wiki moja hivi watakupa online CDS account yako ambayo unaeza itumia pamoja na online stanbic bank account. Ukiwa na zote mbili waweza fanya chochote kile utakacho ukiwa chumbani mwako bila kumsumbua yeyote. Nakushauri pia unjiunge nasi katika jukwaa la wazua link ndio hii hapa http://www.wazua.co.ke/
Karibu sana.
 
Joe Snr

Village Elder
#10

Ahsante sana Mkufuu..mawaidha yako yatanifaa..kweli palipo na Wazee waungwana wa Ktalk hapaharibiki jambo..
 
Last edited:

panktcha

Village Elder
#11
Equity, Coop, Barclays, Chase... All these banks have stock trading divisions. Tell him to ask at his bank. Orders are done same day. Sale orders settle in 3 working days and money is in your OWN account.
 
Status
Not open for further replies.

Top