Csi ktalk

Talkers nimepiga mahesabu ya account ngine hapa nikaona some observations… In short @Panyaste = @Nachunisha Majamaa Sukuma

Harafu?

Vitu zingine huhitaji hesabu ni theory

Umbwa ghasia takataka…PS majority of the replies here and owner of this thread is Bingwa

Even that @Nachunisha Majamaa Sukuma is bingwa. This guy is sick. He creates a handle then uses another handle to accuse you of bn that handle. Niambie kama huyu ni mtu ana akili timamu?

Hehehe midget hellooo

How idle are u?

Mchunisha sukuma= Corleone Maffi=Bingwa

am yet to understand what thrill comes with having multiple handles…yet to.i mean its like vile willy paul huencourage his 200 fans to vote a million times wakati ya groove awrds alafu tunadhani ako na 200m fans…

Alafu the speed which he (Bingwa) switches btwn those handles is another wonder , In this thread for example, he has replied thrice using different handles

hehee,so apart from @ChifuMbitika ,hao wengine ni Bingwa?

!!!

naskia kwa hii thread hizo zote ni handles za bingwa

Hiyo ni kweli kabisa.