Cupping

Leo kuko slow sana, The big pumping Elgin nikasema niexplore le jeg dens! Hapa nafurahia tu nikinyonya mbwa(Guiness kubwa) Yaani kwa dens maku negotiation ni peupe pe! In other words mwarimm amepata kakitu from the Wealds School, UK.Ushairi wangu umeshinda tena. Alhamdulilahii![ATTACH=full]233409[/ATTACH][ATTACH=full]233410[/ATTACH]

exactly my idea of a local joint…hakuna kelele mob…kwetu sisi hawkers wote huingia hadi mwalalo wa fake watches na perfumes,wasap wa “imported” oranges and apples,wamaasai wa belt,na kadhalika

Masaa ya mututho?

iyo ilikwishanga.nairobi west nimepitia 30 minutes ago na cadillac watu wanakunywa hadi kwa parking

Meeen,hapa ni customer wa makuz and disguised M hawkers, le jegs au chupa na kagoka kwa kona. Hii fiashara lazma nianze. Go ahead bro at yo end.

Until the local OCS decides to enforce; especially in these smaller towns.

Uko kwa chama ya wamamA

Huku mashinani mabar hufungua 6 majamaa wa nduthi watoe lockment. Masaa ya Mututho thought ni ya Kempisetan!

Taq tutor, si niko Holiday bana. Hehe umefika lini Ndodi? Nimelima shamba 3 acres…naskia mvua imekwama Tanzania…we umelima?

Ngodi! I mean

kalawani or tawa ?

btw nasija hapo country hii weekend

Na wao hukunywa na the bar owners…Mututho hakufikiria!

Aki mkuu nishtue. Mi huishi hapo Imale school kwa hio flat ya pilot. Nipe namba bana tunywe hapo country lodge, najua chenye unaleta.

Hehe, hao wawili kwa picha ni nani dadako?
Am so lenient, otherwise unajua venye ningesema. Anyway…yo good faki moto?

aiyayaaaa umenichafua mecho

Najua lazima uende clayworks mahali…kweli?

Pole bana, osha na ARIEL bana…huku hii ndio recipe bana.

oops, cheza chini

Si ungesema sandak!