Curfew

Uhuru is supposed to give a national address on Corona in early March. Wakubwa mnaona anafaa kutoa curfew na pia mnaona akitoa kweli?

Anakaza mpaka Vaksin ikue available.
Mambo ya curfew kuisha ni probably in June tukikaribia kupigia BBI kura.

wakenya wacha tukae tu ivo…fools are already violating simple guidelines …sasa curfew ikitoka si ndio tutadedi?meanwhile kwangu junior has had “homa” like twice since warudi chuo…niko sure herd immunity ishashika

Wameamua majamaa wa bar wakule hasara vilivyo

Lazima ata toa hizo ma-curfew ama aishie nahuko na hizo ma BBI zake

Hii kitu ilifaakutolewa immediately ilipowekwa, haisaidii nothing

Long distance buses pia wanaumia mbaya sana

Curfews dont work

The curfew will most likely be lifted and restrictions relaxed to appease angry citizens and with the misplaced hope of garnering support for the BBI (Breastfeed Baba Initiative) chieth.

I said it here that Africans must be having some kind of immunity to this thing otherwise tungekufa Kama nzige…u have seen how bonobos flock these rallies by politicians with zero social distancing, no mask na wale wako nazo wamevaa kwa shingo Kama burukenge… Hata Juzi kwa burial ya Yusuf Haji…nani uliona na mask? Yote tisa…herd immunity is the way to go… survival for the fittest.

Sema tu kwa kiswahili, kizungu wachana nayo

umeona pesa imemwagwa na IMF lately? inchi itafunguliwa August 17th bila shaka

Mnaishi wapi? curfew iliisha!

Mjamaa wa AMG hufai kukomplain naskia nyinyi mko na wine and spirits Kwa mancave.

Mimi habana complain, niko na full-stocked bar inaletwa na glovo weekendi.

Ghasia chocha ndio zako. Ati chrome na Captain Morgan ndio inaletwa na ndwendwe.

Hehehe mimi hucheza na single malts only bro. Punguza hasira kijana, leo mnalimwa vilivyo pale farmers league na timu ghasia

Same case here

[MEDIA=twitter]1350093083627683840[/MEDIA]
[MEDIA=twitter]1350063719083077634[/MEDIA]

niliskia curfew iko Nairobi tu

Curfew iendelee forever because:

  1. Night time crime has reduced.
  2. Night travelling by vehicles which contributes to most accidents doesn’t happen.
  3. Drunkard parents get home before 10
  4. Noisy keshas and other social gatherings don’t occur